Tafseer Ya Surah Kauthar

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ إِنَّا أَعْطَيْنَاكَ الْكَوْثَرَ ‎﴿١﴾‏ فَصَلِّ لِرَبِّكَ وَانْحَرْ ‎﴿٢﴾‏ إِنَّ شَانِئَكَ هُوَ الْأَبْتَرُ ‎﴿٣﴾‏ Hakika Sisi tumekuruzuku (na tukakubariki kwa) kheri nyingi. Basi sali kwa Mola wako, na uchinje. Hakika, anayekuchukia atakatiliwa mbali. Katika sura hii, Allah Ta’ala anazungumza na Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam ) akisema: “Hakika sisi tumekuruzuku (na tumekubariki kwa) …

Soma Zaidi »

Matamanio ya Sayyidina Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) kuhusu Wanawake Kuswali ndani ya Nyumba zao

Ingawa ilikuwa ni matamanio ya Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) kwamba watu wa Ummah wake waswali na jamaah msikitini, ilikuwa ni matamanio yake pia kwamba wanawake wa Ummah wake watimize Swalaah zao ndani ya mipaka ya nyumba zao. Sayyidina Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) aliwahimiza wanawake kuswali ndani ya nyumba zao na …

Soma Zaidi »

Furaha Ya Umar (Radhiyallaahu ‘anhu)

Umar (Radhiyallaahu ‘anhu) aliwahi kumwambia Abbaas (Radhiya Allaahu ‘anhu) (mjomba wa Rasulullah sallallahu ‘alaihi wasallam)) “nilikuwa na furaha zaidi na Uislamu waku kuliko Uislamu wa baba yangu, kwa sababu Uislamu wako ulileta furaha zaidi kwa Mtume (Sallallahu ‘alaihi wasallam) kuliko Uislamu wa baba yangu.” (Sharhu Ma’aanil Aathaar 3/321)

Soma Zaidi »

Kupokea Cheti cha Uhuru kutokana na Unafiki na moto wa Jahannam

عن أنس بن مالك قال: قال رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم: من صلى علي صلاة واحدة صلى الله عليه عشرا ومن صلى علي عشرا صلى الله عليه مائة ومن صلى علي مائة كتب الله له بين عينيه براءة من النفاق وبراءة من النار وأسكنه الله يوم القيامة مع …

Soma Zaidi »

Swalah Ya Wanawake

Kila kipengele cha dini ya Kiislamu kinachohusiana na wanawake vimeengemezwa na unyenyekevu na aibu. Ni katika suala hili ndipo Uislamu unawaamrisha wanawake kubaki ndani ya mipaka ya nyumba zao, wakiwa wamejificha kabisa machoni kwa wanaume, na wasitoke majumbani mwao bila ya haja halali ya Sharia. Namna ambayo mwanamke ameamrishwa kuswali …

Soma Zaidi »

Qa’dah and Salaam

9. Usiinamishe au kutikisa kichwa wakati wa kutoa salaam. 10. Geuza uso wako pande zote mbili kwa kiasi ambacho mtu aliye nyuma ataweza kuona shavu lako.[1] 11. Baada ya salamu, soma  اَسْتَغْفِرُ الله mara tatu.[2] 12. Shiriki katika dua kwa sababu huu ni wakati wa kukubaliwa dua.[2] 13. Soma Tasbih …

Soma Zaidi »

Ulinzi Ndani Ya Kaburi

Zaidi ya hayo, imeripotiwa kwamba mtu ambaye ameshikamana na Qur-aan Tukufu anapofariki, kabla ya kuzikwa, wakati familia yake bado inashughulika na ibada ya mazishi yake, Qur-aan Tukufu humjia ikiwa na sura nzuri na kusimama kwenye upande wa kichwa chake, kumlinda na kumfariji mpaka avikwe na sanda. Kisha Quraan Tukufu itaingia …

Soma Zaidi »

Qa’dah na Salaam

7. Ikiwa ni qa’dah ya mwisho, basi soma tashahhud, Swalawaat Ebrahimiyyah na baada ya hapo fanya dua.[1] Swalawaat Ibrahimiyyah ni ifuatavyo:[2] اَللّٰهُمَّ صَلِّ عَلٰى مُحَمَّدٍ وَّعَلٰى اٰلِ مُحَمَّدٍ كَمَا صَلَّيْتَ عَلٰى إِبْرَاهِيْمَ وَعَلٰى اٰلِ إِبْرَاهِيْمَ  وَبَارِكْ عَلٰى مُحَمَّدٍ وَّعَلٰى اٰلِ مُحَمَّدٍ كَمَا بَارَكْتَ عَلٰى إِبْرَاهِيْمَ وَعَلٰى اٰلِ إِبْرَاهِيْمَ فِيْ الْعَالَمِيْنَ …

Soma Zaidi »

Abu Bakr – Ni Mfani Halisi wa Wema na Huruma

Wakati mmoja, Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) aliuliza kutoka kwa Maswahabah (radhiya allaahu ‘anhum), “Ni nani miongoni mwenu anafunga leo?” Abu Bakr (radhiya allaahu ‘anhu) akajibu: “Mimi Nimefunga leo.” Nabi (sallallahu ‘alaihi wasallam) akauliza: “Ni nani miongoni mwenu aliyemtembelea mgonjwa leo? Abu Bakr (radhiya allaahu ‘anhu) akajibu, “Mimi Nimemtembelea mgonjwa leo. …

Soma Zaidi »