Wakati mmoja, Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) aliuliza kutoka kwa Busrah bintu Safwaan (radhiyallahu ‘anha) kwamba ni mtu gani alikuwa amependekeza kuolewa na mpwa wake, Ummu Kulthoom bintu Uqbah. Alimjulisha majina ya watu wachache ambao walikuwa wamependekeza mpwa wake, na yeye pia alimjulisha kwamba miongoni mwa watu waliompendekeza mpwa wake ni …
Soma Zaidi »Talhah (Radhiyallahu ‘anhu) katika Vita vya Uhud
Kuhusiana na uvumilivu wa Talha (Radhiya Allaahu ‘anhu) katika Vita vya Uhud, Sa’d bin Abi Waqqaas (Radhiya Allaahu ‘anhu) ametaja yafuatayo: Allah Ta’ala amrehemu Talhah. Bila shaka, kutoka kwetu sote, alimsaidia Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) zaidi siku ya Uhud. Sa’d (Radhiya Allaahu ‘anhu) aliulizwa, “Tueleze jinsi (alivyomsaidia Mtume (Sallallahu alaihi …
Soma Zaidi »Shemeji Wa Mtume (Sallallahu alaihi wasallam)
Talhah (Radhiya Allaahu ‘anhu) alioa wake wanne. Kila mmoja katika wake zake wanne alikuwa dada wa mmoja katika wake wa Mtume wanaoheshimika (Sallallahu alaihi wasallam). Kwa sababu ya hili ndio maana Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) alimwambia, “(Wewe ni) shemeji yangu hapa duniani na Akhera (yaani utakuwa shemeji yangu katika Jannah).” …
Soma Zaidi »Sunna na Aadaab za Jumu’ah 1
1. Soma Surah Dukhan siku ya Alhamisi usiku. Imepokewa kutoka kwa Abu Hurairah (radhiyallahu anhu) kuwa Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) amesema: “Mwenye kusoma Surah Haa-mim Ad Dukhaan usiku wa kuamkia Alhamis atasamehewa madhambi yake.”[1] 2. Oga (fanya ghusl) siku ya Ijumaa. Yule ambaye ataoga siku ya Ijumaa, madhambi yake madogo …
Soma Zaidi »Watoto Wachamungu – Uwekezaji Wa Akhera
Miongoni mwa fadhila za thamani za Allah Ta’ala juu ya mwanadamu ni fadhila ya watoto. Fadhila za watoto ni miongoni mwa neema maalum za Allah Ta’ala zilizotajwa katika Quraan Majeed. Allah Ta’ala anasema: وَاللَّهُ جَعَلَ لَكُم مِّنْ أَنفُسِكُمْ أَزْوَاجًا وَجَعَلَ لَكُم مِّنْ أَزْوَاجِكُم بَنِينَ وَحَفَدَةً وَرَزَقَكُم مِّنَ الطَّيِّبَاتِ ۚ Allah Ta’ala …
Soma Zaidi »Ukarimu Mkubwa wa Talhah (Radhiya Allaahu ‘anhu)
Mke wa Talhah (rahdiyallahu ‘anhu), Su’da bint ‘Awf al-Muriyyah alitaja tukio lifuatalo kuhusu mumewe Talhah (Radhiya Allaahu ‘anhu): “Siku moja, Talhah aliingia nyumbani katika hali ya dhiki. Nilipoona hali hii, nilimwambia, ‘Kwa nini ninakuona ukiwa na huzuni? Kuna nini? Je! nilifanya jambo ambalo limekuuzi hadi nakuona ukiwa umefadhaika? Tafadhali niambie …
Soma Zaidi »Urithi Ya Watoto Wachamungu
Baba yake Nabii Yunus (alaihis salaam) alikuwa mtu mchamungu akiitwa Mattaa. Yeye na mkewe, kwa muda mrefu, walitamani kwamba Allah Ta’ala Awajaalie mtoto wa kiume na amweke kuwa Nabii wa Bani Israa’il. Miaka mingi ilipita, huku wakiendelea kuomba dua, mpaka hatimaye, waliamua kwenda kwenye chemchemi iliyobarikiwa ya Nabii Ayyoob (alaihis …
Soma Zaidi »Kupokea jina la Al-Fayyadh kutoka kwa Mtume (Sallallahu alaihi wasallam)
Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) alimpa Talhah (Radhiya Allaahu ‘anhu) cheo cha Talhah Al-Fayyaadh (mtu mkarimu sana) mara kadhaa. Ifuatayo ni tukio moja kama hilo: Wakati wa vita vya Zi Qarad, Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) alipita karibu na kisima cha Baisaan. Maji ya kisima hiki yalijulikana kuwa machungu. Mtume (Sallallahu alaihi …
Soma Zaidi »Dalili Za Qiyaamah 3
Dalili Ndogo Kuongezeka Kabla ya Dalili Kubwa Wakati wa kuzitazama dalili ndogo za Qiyamah zilizoandikwa katika Hadith, mtu hutambua kwamba ni kichocheo cha kuja kwa dalili kubwa. Kwa hivyo, kwa kweli, dalili ndogo zitaongezeka kwa wingi, hadi mwishoni zitafikia kilele kwa kuja kwa dalili kubwa. Katika hadith fulani, Rasulullah (Sallallahu …
Soma Zaidi »Talhah (Radhiya Allaahu ‘anhu) Akitimiza Ahadi Yake
Talhah (Radhiya Allaahu ‘anhu) anaripoti: Maswahaabah (Radhiya Allaahu ‘anhum) siku moja walimwambia bedui mmoja, “Nenda ukaulizie kutoka kwa Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) kuhusu nani Allah Ta’ala Anayemkusudia (katika Aya ifuatayo ya Qur’an Majeed) “Miongoni mwao (Maswahaba) wapo waliotimiza ahadi zao (kwa Allah Ta’ala wa kubaki imara kwenye uwanja wa vita …
Soma Zaidi »