admin

Tafseer Ya Surah ‘Asr

بسمِ اللَّهِ ألرَّحْمٰنِ الرَّحِيمِ وَالْعَصْرِ ‎﴿١﴾‏ اِنَّ الْاِنسَانَ لَفِى خُسْرٍ ‎﴿٢﴾‏ إِلَّا الَّذِينَ اٰمَنُوْا وَعَمِلُوْا الصّٰلِحٰتِ وَتَوَاصَوْا بالْحَقِّ وَتَوَاصَوْا بالصَّبْرِ ‎﴿٣﴾‏ Naapa kwa zama; Hakika mwanaadamu yumo katika khasara, isipokuwa wale walio amini na wakatenda mema, na wakausiana na haki, na wakausiana kustahamili. وَالْعَصْرِ ‎﴿١﴾‏ اِنَّ الْاِنسَانَ لَفِى خُسْرٍ ‎﴿٢﴾ …

Soma Zaidi »

Kipato Cha Rehema Kubwa Za Allah Subhaana Wata’alah

عن ابن عمر وأبي هريرة رضي الله عنهما قالا قال رسول الله صلى الله عليه وسلم صلوا علي صلى الله عليكم (الكامل لابن عدي، الرقم: ١١٠٨٦، وإسناده ضعيف كما في التيسير للمناوي ٢/٩٣) Sayyidina Abdullah Bin Umar : (radhiyallahu ‘anhu) na Sayyidina Abu Hurairah : (radhiyallahu ‘anhu) wamesema kuwa Nabii …

Soma Zaidi »

Muda na Namna Sahihi

Kama vile kuswali ni muhimu, kuitekeleza kwa wakati wake na kwa njia sahihi ni muhimu vile vile. Sayyidina Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) amesema, “Mtu anapotekeleza Swalaah yake kwa wakati wake uliowekwa pamoja na kufanya udhu vizuri kwa njia sahihi, akitimiza qiyaam ( kusimama katika swalaah), rukuu na sajdah kwa njia …

Soma Zaidi »

Abu Ubaidah (radhiyallahu ‘anhu) anapoteza Meno Yake

Wakati wa vita vya Uhud, Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) alikuwa ameumizwa vibaya sana na adui na vipande viwili vya kofia yake vikapenya kwenye uso wake wa mubarak. Abu Bakr Siddiq (radhiyallahu ‘anhu) na Abu Ubaidah (radhiyallahu ‘anhu) mara moja wakakimbia na kumsaidia Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) Abu Ubaidah (radhiyallahu ‘anhu) …

Soma Zaidi »

Kupata Rehma Kumi

عن أبي هريرة أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال: من صلى علي واحدة صلى الله عليه عشرا (صحيح مسلم،  الرقم: ٤٠٨) Sayyiduna Abu Huraira (radhiyallahu ‘anhu) ameripoti kuwa Nabii (sallallahu ‘alaihi wassallam) amesema ” yoyote atakaye nitumia salaam mara moja, allah subhaana wata’alah atamtumia salaam (yaani atampa zawadi …

Soma Zaidi »

Swalah Ya Wanaume

Nafasi ya juu ambayo Swalah inashikilia katika maisha ya Muislamu haihitaji maelezo yoyote. Ukweli kwamba kitakuwa ni kipengele cha kwanza ambacho mtu ataulizwa Siku ya Qiyaamah ni ushahidi tosha wa umuhimu wake. Sayyidina Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) amesema: إن أول ما يحاسب الناس به يوم القيامة من أعمالهم الصلاة قال …

Soma Zaidi »

Bashara Nzuri Kutoka Kwa Allah( Subhaana Wata’alah) Kwa Wale Ambao Wanamsalia Mtume

عن عبد الرحمن بن عوف رضي الله عنه قال خرج رسول الله صلى الله عليه وسلم فاتبعته حتى دخل نخلا فسجد فأطال السجود حتى خفت أو خشيت أن يكون الله قد توفاه أو قبضه قال فجئت أنظر فرفع رأسه فقال ما لك يا عبد الرحمن قال فذكرت ذلك له فقال …

Soma Zaidi »

Sunna Za Msikiti

36. Soma dua ya Sunna unapotoka msikitini.[1] Dua ya kwanza: بِسْمِ اللهِ وَالصَّلاَةُ وَالسَّلاَمُ عَلٰى رَسُوْلِ اللهِ اَللّٰهُمَّ إِنِّيْ أَسْأَلُكَ مِنْ فَضْلِكَ Kwa jina la Allah Ta’ala. Amani na salamu ziwe juu Sayyidina Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) Ewe Allah Ta’ala, nakuomba Neema zako.[2] Dua ya Pili: بِسْمِ اللهِ وَالصَّلاَةُ وَالسَّلاَمُ …

Soma Zaidi »

Ujumbe wa Sa’d (radhiyallahu ‘anhu) kwa Waislamu

Wakati wa vita vya Uhud, Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) aliuliza, “Sa’d bin Rabee yuko wapi? Sijui hali yake.” Baada ya hapo, mmoja wa Maswahaba (radhiyallahu ‘anhum) alitumwa kumtafuta. Alikwenda hadi mahali ambapo miili ya mashahidi zilikuwepo. Alipaza sauti kwa jina la Sa’d (radhiyallahu ‘anhu) kuona kama yupo hai. Mahali fulani …

Soma Zaidi »