Umar (Radhiya Allaahu ‘anhu) Akifurahishwa Na Mema Wakati wa Mwisho

Asubuhi wakati Umar (Radhiya Allaahu ‘anhu) alipochomwa kisu, kijana mmoja alimtembelea na kumwambia, “Ewe Ameer-ul-Momineen! Furahi kwa bashara kutoka kwa Allah Ta’ala! Wewe ni miongoni mwa Maswahaba wa Mtume (Sallallahu ‘alaihi wasallam) na wewe ni miongoni mwa waliosilimu siku za mwanzo kabisa. Baada ya hapo ukachaguliwa kuwa khalifa na ukafanya …

Soma Zaidi »

Tafseer Ya Surah Nasr

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ إِذَا جَاءَ نَصْرُ اللَّهِ والْفَتْحُ ‎﴿١﴾‏ وَرَأَيْتَ النَّاسَ يَدْخُلُونَ فِي دِينِ اللَّهِ أَفْوَاجًا ‎﴿٢﴾‏ فَسَبِّحْ بِحَمْدِ رَبِّكَ وَاسْتَغْفِرْهُ ۚ إِنَّهُ كَانَ تَوَّابًا ‎﴿٣﴾‏ (Ewe Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam)) Itakapokuja nusura ya Allah Ta’ala na ushindi (utekaji wa Makka Mukarramah) na ukawaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) kwa wingi, …

Soma Zaidi »

Sunnah na Adabu Za Kusoma Qur’an Takatifu 6

18. Haijuzu kwa mtu kusoma sehemu yoyote ya Quraan Takatifu au kuchukua jina la Allah Ta’ala akiwa chooni. Vile vile ikiwa mtu ana pete au cheni ambayo juu yake imeandikwa jina la Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) au aya yoyote ya Quraan Majeed, basi aiondoe kabla ya kuingia chooni. Anas (radhiyallahu …

Soma Zaidi »

Ruku na I’tidaal

7. Soma tasbeeh ifuatayo mara tatu au idadi yoyote isiyo ya kugawanyika: سُبْحَانَ رَبِّيَ الْعَظِيْم Utukufu ni wa Mola wangu Mkubwa. 8. Baada ya kusoma tasbihi, simama kutoka kwenye rukuu huku ukisema tasmee’: سَمِعَ اللهُ لِمَنْ حَمِدَهْ Allah Ta’ala Humsikia mwenye kumsifu. 9. Inua mikono (kama ilivyoelezwa katika takbeeratul ihraam) …

Soma Zaidi »

Matamanio Ya Umar (radhiya allaahu ‘anhu) Kuzikwa Pamoja Na Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam)

  Katika dakika za mwisho baada ya Umar (radhiya allaahu ‘anhu) kuuawa kwa kuchomwa kisu, alimtuma mwanawe, Abdullah bin Umar (radhiya allaahu ‘anhuma), nyumbani kwa Aaishah (radhiyallahu ‘anha). Umar (radhiya Allaahu ‘anhu) alimuagiza akisema, “Mwambie kwamba Umar anatoa salaam. Usiseme kwamba Ameer-ul-Mu’mineen anafikisha salaam, kwa sababu leo mimi sio Amirul-Mu’mineen …

Soma Zaidi »

Sunnah na Adabu Za Kusoma Qur’an Takatifu 5

15. Wakati wa kugeuza kurasa za Qur’an Takatifu, usiloweshe kidole chako na mate ili kugeuza kurasa. Hii haiendani na heshima tunayotakiwa kuionyesha Quraan Majeed. 16. Baada ya kuhitimisha Quraan Takatifu, unapaswa kushiriki katika dua kwa sababu huu ni wakati ambao dua zinakubaliwa. Thaabit (rahimahullah) anaripoti kwamba wakati wowote Anas bin …

Soma Zaidi »

Rukuu na I’tidaal

1. Ukimaliza kusoma Surah Faatihah na Qiraah (Surah nyingine), tulia kwa muda na baada ya hapo inua mikono (kama ilivyoelezwa katika takbeeratul ihraam) huku ukisema takbira na endelea kwa kwenda kwenye rukuu. Kumbuka: Takbira ya intiqaaliyyah (takbira inayosomwa wakati wa kuhama kutoka kwenye mkao mmoja hadi mwingine) inapaswa kuanza mara …

Soma Zaidi »

Unyenyekevu Wa Umar (radhiya allaahu ‘anhu)

Miswar bin Makhramah (radhiya allaahu ‘anhu) anaeleza kwamba wakati Umar (radhiya allaahu ‘anhu) alichomwa kisu, akaanza kuhuzunika na akawa na wasiwasi mkubwa juu ya ummah. Abdullah bin Abbaas (radhiya allaahu ‘anhuma) akamfariji na kusema: “Ewe Ameer-ul-Mu’mineen! Hakuna haja ya wewe kuhuzunika. Ulibakia katika kundi la Rasulullah (sallallahu’alaihi wasallam) na ukatimiza …

Soma Zaidi »

Sunnah na Adabu Za Kusoma Qur’an Takatifu 4

12. Unapozungumzia kuhusu Qur’an, basi ipe cheo cha heshima kama vile Quraan Majeed, Quraan Kareem, Quraan Tukufu, Quraan Takatifu, n.k. 13. Soma Quran Majeed kwa sauti nzuri. Vile vile, unapaswa kujiepusha na kuiga sauti na urembaji wa nyimbo na mitindo ya waimbaji, nk.[1] Baraa ibn Aazib (radhiyallahu ‘anhu) anasema kwamba …

Soma Zaidi »

Sunnah na Adabu Za Kusoma Qur’an Takatifu 3

9. Soma ta’awwudh (a’uudhu billah) unapoanza kusoma Quran Takatifu. فَإِذَا قَرَأْتَ الْقُرْآنَ فَاسْتَعِذْ بِاللَّهِ مِنَ الشَّيْطَانِ الرَّجِيمِ ‎﴿٩٨﴾ Unapokusudia kusoma Quran, basi jikinge kwa Mwenyezi Mungu na Shetani, aliyekataliwa.[1] 10. Unapaswa kusoma Qur’an Takatifu wakati moyo wako uko makini kwenye kusoma. Ikiwa unahisi uchovu na unaona kuwa uzingatio wako umeathiriwa, basi …

Soma Zaidi »