Zaidi ya hayo, imeripotiwa kwamba mtu ambaye ameshikamana na Qur-aan Tukufu anapofariki, kabla ya kuzikwa, wakati familia yake bado inashughulika na ibada ya mazishi yake, Qur-aan Tukufu humjia ikiwa na sura nzuri na kusimama kwenye upande wa kichwa chake, kumlinda na kumfariji mpaka avikwe na sanda. Kisha Quraan Tukufu itaingia …
Soma Zaidi »Yearly Archives: 2023
Qa’dah na Salaam
7. Ikiwa ni qa’dah ya mwisho, basi soma tashahhud, Swalawaat Ebrahimiyyah na baada ya hapo fanya dua.[1] Swalawaat Ibrahimiyyah ni ifuatavyo:[2] اَللّٰهُمَّ صَلِّ عَلٰى مُحَمَّدٍ وَّعَلٰى اٰلِ مُحَمَّدٍ كَمَا صَلَّيْتَ عَلٰى إِبْرَاهِيْمَ وَعَلٰى اٰلِ إِبْرَاهِيْمَ وَبَارِكْ عَلٰى مُحَمَّدٍ وَّعَلٰى اٰلِ مُحَمَّدٍ كَمَا بَارَكْتَ عَلٰى إِبْرَاهِيْمَ وَعَلٰى اٰلِ إِبْرَاهِيْمَ فِيْ الْعَالَمِيْنَ …
Soma Zaidi »Abu Bakr – Ni Mfani Halisi wa Wema na Huruma
Wakati mmoja, Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) aliuliza kutoka kwa Maswahabah (radhiya allaahu ‘anhum), “Ni nani miongoni mwenu anafunga leo?” Abu Bakr (radhiya allaahu ‘anhu) akajibu: “Mimi Nimefunga leo.” Nabi (sallallahu ‘alaihi wasallam) akauliza: “Ni nani miongoni mwenu aliyemtembelea mgonjwa leo? Abu Bakr (radhiya allaahu ‘anhu) akajibu, “Mimi Nimemtembelea mgonjwa leo. …
Soma Zaidi »Tafseer Ya Surah Ma’un
أَرَأَيْتَ الَّذِي يُكَذِّبُ بِالدِّينِ ﴿١﴾ فَذَٰلِكَ الَّذِي يَدُعُّ الْيَتِيمَ ﴿٢﴾ وَلَا يَحُضُّ عَلَىٰ طَعَامِ الْمِسْكِينِ ﴿٣﴾ فَوَيْلٌ لِّلْمُصَلِّينَ ﴿٤﴾ الَّذِينَ هُمْ عَن صَلَاتِهِمْ سَاهُونَ ﴿٥﴾ الَّذِينَ هُمْ يُرَاءُونَ ﴿٦﴾ وَيَمْنَعُونَ الْمَاعُونَ ﴿٧﴾ Je! Umemwona mwenye kuikataa Hukumu? Kisha yeye ndiye anaye msukuma yatima, na wala hahimizi kulisha masikini. Basi ole wao wanaoswali, ambao wanapuuza Swalah zao. Na wale ambao (wanafanya wema tu) kujionyesha, …
Soma Zaidi »Kupata Uombezi Na Bashara wa Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam)
عن ابن عمر قال قال رسول الله صلى الله عليه وسلم من زار قبري وجبت له شفاعتي (سنن الدارقطني، الرقم: 2695) رواه البزار والدارقطني قاله النووي وقال ابن حجر في شرح المناسك: رواه ابن خزيمة في صحيحه وصححه جماعة كعبد الحق والتقي السبكي وقال القاري في شرح الشفا : صححه …
Soma Zaidi »Usiku Ukisubiri Muda Maalum Wa Kisomo
Katika riwaya moja, imepokewa kwamba kila mtu aliyejifunza Qur-aan Takatifu (au kipande chake) anaposimama katika Swalaah kwa Muda mchache usiku, ili asome Qur-aan, basi usiku huo unaujulisha usiku unaofuata juu ya nyakati hizi maalum ambazo ulikuwa umeufurahiya. Usiku unaushawishi usiku unaofuata kungojea kwa hamu nyakati hizo maalum ambapo utasimama kusoma …
Soma Zaidi »Qa’dah na Salaam
3. Soma dua ya Tashahhud.[1] اَلتَّحِيَّاتُ الْمُبَارَكَاتُ الصَّلَوَاتُ الطَّيِّبَاتُ لِلّٰهِ السَّلَامُ عَلَيْكَ أَيُّهَا النَّبِيُّ وَرَحْمَةُ اللّٰهِ وَبَرَكَاتُهُ سَلَامٌ عَلَيْنَا وَعَلٰى عِبَادِ اللّٰهِ الصَّالِحِيْن أَشْهَدُ أَنْ لَا إِلٰهَ إِلَّا اللهُ وَأَشْهَدُ أَنَّ مُحَمَّدًا رَّسُولُ اللّٰهِ Ibaadah zote za Kisomo zilizobarikiwa, ibaadah za kimwili ni za Allah Ta’ala. Amani ya Allah Ta’ala …
Soma Zaidi »Mtu wa Kwanza katika Ummah huu kuingia Jannah
Katika Hadith, Rasulullah (sallallaahu ‘alaihi wasallam) ameeleza kwamba Ummah wake utaingia Jannah kabla ya Ummah wote wengine, na katika Ummah wake wote, Abu Bakr (Radhiya Allaahu ‘anhu) atakuwa mtu wa kwanza baada yake kuingia Jannah. Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) akasema: “Jibreel (‘Alayhis Salaam) alikuja mbele yangu, akanichukua kwa mkono na …
Soma Zaidi »Miaka Thamanini ya Kusamehewa madhambi, na Miaka Thamanini ya Ibaadah Inarikodiwa kwa kumswalia Nabii wa Allah Mara Thamanini kwenye siku ya Ijumaa
عن أبي هريرة رضي الله عنه قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: من صلى صلاة العصر من يوم الجمعة فقال قبل أن يقوم من مكانه اللهم صل على محمد النبي الأمي وعلى آله وسلم تسليما غفرت له ذنوب ثمانين عاما وكتبت له عبادة ثمانين سنة (القول البديع صـ …
Soma Zaidi »Kusoma Quraan Takatifu
Allah Ta’ala amebariki Umma wa Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam) na bahari isiyo na mwisho. Bahari hii imejaa na lulu, zumaridi, na marijani (Aina tofauti za majiwe ya thamani). Kwa kadri mtu atakavyochota kutoka kwenye bahari hii, ndivyo mtu atafaidika zaidi. Bahari hii haitoisha kamwe bali itaendelea kubariki mtu katika dunia …
Soma Zaidi »