Abu Waa’il (rahimahullah) anaeleza, “Sijawahi kumuona Abdullah bin Mas’uud (radhiyallahu ‘anhu) akihudhuria mkusanyiko au mwaliko wowote, isipokuwa tu kwamba angemhimidi na kumtukuza Allah subhaana wata'ala na kumtumia salaa na salaam juu ya Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) Kama ingemlazimu kwenda sokoni, ambako alikuta watu wameghafilika na kumkumbuka Allah ta'ala, basi angemhimidi Allah ta'ala Na kumswalia Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) katika sehemu hizo.”
Soma Zaidi »Sunna na Adabu za Kuchinja (kwenye siku ya idi kubwa)
1. Kuchinja ni ibaada kubwa na yenye thawabu nyingi katika Dini. Ndani ya Qur-aan Tukufu, kumetajwa kuhusu ibaada ya Kuchinja, na fadhila zake nyingi na umuhimu wake umesisitizwa katika Hadithi ya Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam). Allah Ta’ala Anasema: لَن يَنَالَ اللَّـهَ لُحُومُهَا وَلَا دِمَاؤُهَا وَلَـٰكِن يَنَالُهُ التَّقْوَىٰ مِنكُمْ Si nyama …
Soma Zaidi »Sunna Za Msikiti
6. Soma dua za masnoon unapoelekea msikitini. Baadhi ya dua za masnoon ni: Dua ya Kwanza: Mwenye kusoma dua ifuatayo wakati wa kuondoka kwenda msikitini hupata rehema khaas za Allah ta’ala, na Malaika elfu sabini watamuombea dua ya msamaha.[1] اَللّٰهُمَّ إِنِّيْ أَسْأَلُكَ بِحَقِّ السَّائِلِيْنَ عَلَيْكَ وَأَسْأَلُكَ بِحَقِّ مَمْشَايَ هٰذَا فَإِنِّيْ …
Soma Zaidi »Sunna Za Msikiti
4. Nenda msikitini kwa utulivu na kwa njia ya heshima. Usije mbio msikitini na kukimbia.[1] عن أبي هريرة رضي الله عنه قال سمعت رسول الله صلى الله عليه وسلم يقول إذا أقيمت الصلاة فلا تأتوها تسعون وأتوها تمشون عليكم السكينة فما أدركتم فصلوا وما فاتكم فأتموا (صحيح البخاري، الرقم: 908) …
Soma Zaidi »Sunna Za Msikiti
1. Vaa vizuri ipasavyo unapokuja msikitini.[1] يٰبَنِىٓ اٰدَمَ خُذُوْا زِينَتَكُمْ عِندَ كُلِّ مَسْجِدٍ Allah subhaana wata’ala Anasema, “Enyi wana wa Aadam, chukueni mapambo wakati wa kuswali katika msikiti.[2] 2. Ondoa harufu mbaya mwilini, kwenye nguo au mdomo wako kabla ya kuingia msikitini mfano baada ya kula vitunguu au kitu chenye …
Soma Zaidi »Kumswalia Nabii wa Allah (sallallahu alaihi wasallam) wakati wa Kusahau Kitu
Anas (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) alisema, “ukiwa umesahau kitu, basi nitumie salaa na salaam juu yangu, utakikumbuka kama Allah subhaana wata'ala akipenda.
Soma Zaidi »Kumswalia Nabii wa Allah (sallallahu alaihi wasallam) Kwenye Mkusanyiko
Anas bin Maalik (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) amesema: “Pindi Waislamu wawili wanaopendana (kwa ajili ya Allah Ta‘ala) wakikutana na wanamtumia Nabii wa Allah (sallallahu alaihi wasallam) Salaa na salaam basi kabla hawaja aachana husamehewa madhambi zijazo na zilizopita (madhambi madogo madogo)."
Soma Zaidi »Tafseer ya Surah Bayyinah
بِسْمِ اللّٰهِ الرَّحْمٰنِ الرَّحِيمِ لَمْ يَكُنِ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا مِنْ أَهْلِ ٱلْكِتَٰبِ وَٱلْمُشْرِكِينَ مُنفَكِّينَ حَتَّىٰ تَأْتِيَهُمُ ٱلْبَيِّنَةُ ﴿١﴾ رَسُولٌ مِّنَ ٱللَّهِ يَتْلُوا صُحُفًا مُّطَهَّرَةً ﴿٢﴾ فِيهَا كُتُبٌ قَيِّمَةٌ ﴿٣﴾ وَمَا تَفَرَّقَ ٱلَّذِينَ أُوتُوْا ٱلْكِتٰبَ إِلَّا مِن م بَعْدِ مَا جَآءَتْهُمُ ٱلْبَيِّنَةُ ﴿٤﴾ وَمَآ أُمِرُوٓا إِلَّا لِيَعْبُدُوْا ٱللَّهَ مُخْلِصِينَ لَهُ ٱلدِّينَ حُنَفَآءَ وَيُقِيمُوْا ٱلصَّلَوٰةَ وَيُؤْتُوْا …
Soma Zaidi »Kumswalia Nabii wa Allah (sallallahu alaihi wasallam) kabla ya Kufanya Dua
Fadhaalah bin Ubaid (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba katika tukio moja, pindi Rasulullah sallallahu alaihi wasallam alikuwa amekaa (msikitini), mtu fulani aliingia na kuswali. Baada ya kuswali, mtu huyo aliomba dua akisema, “Ewe Allah subhaana wata'ala! Nisamehe na unimiminie rehema zako!” kumtazama namna mtu huyu alivyoomba dua, Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) akamwambia: “Umeharakisha (kumwomba Allah ta'ala haja yako), Ewe Mtu aliye swali! Baada ya kuswali, unapokaa kufanya dua, anza kwa kumhimidi Allah (subhaana wata'ala) kwa vile anastahiki kusifiwa. Baada ya hapo nitumie mimi salaa na salaam, kisha mletee Allah ta'ala haja yako.” Baada ya hapo, mwingine mtu aliyeswali. Baada ya kuswali, alimhimidi Allah (subhaana wata'ala), akamtumia Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) salaa na salaam (na kisha akaanza kuomba). Kumwangalia mtu huyu (na yeye akishikamana na adabu za dua), Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) akamwambia, “Ewe mtu aliye swali! Omba dua, kwa sababu dua yako itakubaliwa!”
Soma Zaidi »Fadhila za Mwenye kwenda kwenye Msikitini Kutekeleza Swalaah
4. Kuenda msikitini mara Kwa mara ni njia ya usalama kwa Imaan na Dini ya mtu.
Sayyiduna Mu’aaz bin Jabal (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Sayyidina Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) amesema: "Hakika Shaitaan ni mbwa mwitu wa mwanadamu (anayemuwinda mtu), kama jinsi mbwa mwitu wa mbuzi anayemkamata mbuzi aliye mbali na kujitenga na kundi. Jiepusha na kuishi kwa kujitenga kwenye tambarare (au kujiepusha na maoni yaliyotengwa) na kushikilia kwa uthabiti wa Ahlus Sunnah wal Jamaa’ah na kubaki na ummah walio wengi na kushikamana na msikiti.”
Soma Zaidi »