Kupata Qiraat Moja Ya Thawabu

عن علي بن أبي طالب رضي الله عنه أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال: من صلى علي صلاة كتب الله له قيراطا والقيراط مثل أحد (مصنف عبد الرزاق، الرقم: ١٥٣، وسنده ضعيف كما في القول البديع صـ ٢٦٠)

Sayyidina Ally Bin Abii Taalib (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kuwa Nabii (sallallahu ‘alaihi wassallam) amesema, “yoyote atakae niswalia mara moja, Allah subhaana wata’alah atamuandikia kirati moja ya thawabu, na kirati moja ni sawa na mlima wa uhudi.

Furaha ya Umar (radhiyallahu ‘anhu)

Umar (radhiyallahu ‘anhu) siku moja alimwambia Abbaas (radhiyallahu ‘anhu) (mjomba wa Rasulullah sallallahu alaihi wasallam), “Nilifurahi zaidi na Uislamu wako kuliko Uislamu wa baba yangu, kwa sababu Uislamu wako ulimfurahisha Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam).

About admin

Check Also

Chanzo cha nuru siku ya Qiyaama

عن ابن عمر رضي الله عنهما قال قال رسول الله صلى الله عليه وسلم زينوا …