admin

Kushiriki katika Vita vya Badr

Ismaa’il bin Abi Khaalid anasimulia kwamba Bahiyy (rahimahullah) alisema: “Wapanda farasi walikuwa wawili tu wakipigana katika Jihaad kwenye tukio la Badr. Mmoja wao alikuwa Zubair (Radhiya Allaahu ‘anhu), ambaye alikuwa akipigana upande wa kulia, na mwingine alikuwa Miqdad bin Aswad (Radhiya Allaahu ‘anhu), ambaye alikuwa akipigana upande wa kushoto. Hishaam …

Soma Zaidi »

Tahadhari katika kusimulia Hadith kutoka kwa Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam)

Abdullah bin Zubair (Radhiya Allaahu ‘anhu) anasimulia kwamba wakati fulani alimuuliza baba yake, Zubair (Radhiya Allaahu ‘anhu), “Kwa nini usimuli mahadith za Mtume (Sallallahu ‘alaihi wasallam), kama vile maswahaabah (Radhiya Allaahu ‘anhum) wengine?” Zubair (Radhiya Allaahu ‘anhu) akajibu, “Sikuacha upande wa Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam) baada ya kusilimu (yaani nina …

Soma Zaidi »

Sunnah na Adabu Za Kuwatembelea Wagonjwa 2

4. Unapowatembelea wagonjwa, soma dua ifuatayo: لَا بَأْسَ طَهُوْرٌ إِنْ شَاءَ اللهُ Hakuna haja ya kuwa na wasiwasi, kupitia maradhi haya, utatakasika inshaAllah.[1] Unaweza pia kusoma dua ifuatayo mara saba: أَسْألُ اللهَ الْعَظِيْمَ رَبَّ الْعَرْشِ الْعَظِيْمِ أَنْ يَّشْفِيَكَ Ninamuomba Allah Ta’ala, Mola wa Arshi kubwa, akuponye. Imepokewa kutoka kwa Ibnu …

Soma Zaidi »

Sunnah na Adabu Za Kuwatembelea Wagonjwa 1

1. Ni mustahabu kufanya wudhu kabla ya kumtembelea mgonjwa.[1] Anas (radhiyallahu ‘anhu) anasema kwamba Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema, “Mwenye kufanya wudhu kamili (yaani kwa kutimiza sunnah na vitendo vya mustahab vya wudhu) na akafunga safari kwenda kumtembelea ndugu yake Mwislamu mgonjwa kwa matumaini ya kupata thawabu za kumtembelea mgonjwa, …

Soma Zaidi »

Majeraha Katika Njia Ya Allah Ta’ala

Hafs bin Khaalid (rahimahullah) anasimulia kwamba mzee mmoja aliyetoka Mowsil alimwambia yafuatayo: Wakati fulani nilifuatana na Zubair (Radhiyallahu ‘anhu) moja kati ya safari zake. Wakati wa safari, tukiwa katika ardhi iliyo wazi, isiyo na maji, Zubair (Radhiya Allaahu ‘anhu) alihitaji kufanya ghusl la fardh. Akaniambia hivi: “Nifiche (kwa kitambaa ili …

Soma Zaidi »

Fadhila Za Kuwatembelea Wagonjwa 2

Kuepushwa Mbali Na Moto Wa Jahannam Sawa Sawa Na Urefu wa Miaka Sabini Anas (radhiyallahu ‘anhu) anasema kwamba Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema, “Mwenye kufanya wudhu kamili (yaani. kwa kutimiza sunnah na vitendo vya mustahab vya wudhu) na akafunga safari kwenda kumtembelea ndugu yake Mwislamu mgonjwa kwa matumaini ya kupata …

Soma Zaidi »

Swalaah – Ufunguo wa Jannah

Uislamu ndio njia pekee inayoongoza kwenye mapenzi ya Allah Ta’ala na inaongoza kwenye Jannah. Kupitia Uislamu, mtu atapata radhi za Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) na kupata mafanikio ya milele. Katika faradhi zote za Uislamu, faradhi ya Swalaah ipo na daraja ya juu zaidi. Mtume (Sallallahu ‘alaihi wasallam) amesema: “Swalah ni …

Soma Zaidi »