Wakati Waislamu walipokuwa wanazidiwa katika vita vya Uhud, habari za uongo zilianza kuenea kwamba Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) ameuwawa. Hii habari zilisababisha wengi wa Maswahaba (radhiyallahu ‘anhum) kukata tamaa na kupoteza moyo. Anas bin Nadhr (radhiyallahu ‘anhu) alitokea kumuona Umar (radhiyallahu ‘anhu) na Talhah (radhiyallahu ‘anhu) pamoja na kundi la …
Soma Zaidi »Kupata Thawabu Sabini
عن عبد الرحمن بن مريح الخولاني قال سمعت أبا قيس مولى عمرو بن العاصي يقول: سمعت عبد الله بن عمرو يقول: من صلى على رسول الله صلى الله عليه وسلم صلاة صلى الله عليه وملائكته سبعين صلاة فليقل عبد من ذلك أو ليكثر (مسند أحمد، الرقم: ٦٦٠٥، وإسناده حسن وحكمه …
Soma Zaidi »Ansaari anabomoa jengo mpaka chini
Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) wakati fulani alikuwa akipitia barabara ya Madinah Munawwarah alipoona jengo likubwa. Akauliza kutoka kwa Swahaabah, “Ni nini hiki?” Wakamjulisha kwamba lilikuwa ni jengo jipya lililojengwa na Ansaari mmoja. Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) akakaa kimya. Wakati mwingine, Ansaari yule aliyojenga nyumba hiyo alikuja kwa Rasulullah (sallallahu alaihi …
Soma Zaidi »Kupata Thawabu Sabini
عن عبد الرحمن بن مريح الخولاني قال سمعت أبا قيس مولى عمرو بن العاصي يقول: سمعت عبد الله بن عمرو يقول: من صلى على رسول الله صلى الله عليه وسلم صلاة صلى الله عليه وملائكته سبعين صلاة فليقل عبد من ذلك أو ليكثر (مسند أحمد، الرقم: ٦٦٠٥، وإسناده حسن وحكمه …
Soma Zaidi »Qiyaam
15. Ikiwa unaswali fardhi za rakaa tatu au nne, basi katika rakaa ya tatu na ya nne utasoma tu Surah Faatiha. Hupaswi kusoma surah yoyote baada ya kusoma Surah Faatihah. Kumbuka: Katika rakaa ya tatu na ya nne ya swala ya fardh, Surah Faatihah itasomwa na imaam, muqtadi na munfarid …
Soma Zaidi »Bilaal (Radhiya Allaahu ‘anhu) akiwa kwenye kitanda chake cha Kifo
Wakati Bilaal (Radhiya Allaahu ‘anhu) alipokaribia kufariki, mkewe alianza kusema, “Ah, huzuni iliyoje! Unaondoka katika ulimwengu huu!” Bilaal (Radhiya Allaahu ‘anhu) akajibu: “Inapendeza nani furaha iliyoje kwamba kesho tutakutana na marafiki zetu, tutakutana na Muhammad (Sallallahu ‘alaihi wasallam) na maswahaba zake.
Soma Zaidi »Tafseer Ya Surah Humazah
وَيْلٌ لِّكُلِّ هُمَزَةٍ لُّمَزَةٍ ﴿١﴾ الَّذِى جَمَعَ مَالًا وَعَدَّدَهُۥ ﴿٢﴾ يَحْسَبُ أَنَّ مَالَهُ اَخْلَدَهُ ﴿٣﴾ كَلَّا لَيُنْبَذَنَّ فِى الْحُطَمَةِ ﴿٤﴾ وَمَآ اَدْرٰىكَ مَا الْحُطَمَةُ ﴿٥﴾ نَارُ اللّٰهِ ٱلْمُوقَدَةُ ﴿٦﴾ الَّتِى تَطَّلِعُ عَلَى الْأَفْـِٔدَةِ ﴿٧﴾ اِنَّهَا عَلَيْهِم مُّؤْصَدَةٌ ﴿٨﴾ فِى عَمَدٍ مُّمَدَّدَةٍ ﴿٩﴾ Ole wake kila msengenyaji, mdhihaki, aliye kusanya mali na kuendelea kuzihesabu! Anadhani kuwa mali yake itamfanya abakie milele. Kamwe! Hakika atatupwa katika ‘Hutamah’ (moto …
Soma Zaidi »Msaada Katika Daraja La Swirat
Sayyidina Abur Rahmaan Bin Samurah (radhiyallahu ‘anhu) ameripoti: wakati mmoja, Nabii wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alikuja kwetu na akasema, "usiku wa jana, niliona kitu cha maajabu kwenye ndoto nilimuona mtu katika umati wangu alikuwa anavuka daraja la swiraat (daraja juu ya jahannam). Kuna wakati alikuwa anatambaa, wakati mwingine, alikuwa anajiburuza kwa makalio yake, wakati mwingine, alikuwa ananing'inia kwenye daraja la swiraat (karibu ya kuanguka ndani ya jahannam). Ghafla, salam zake alizokuwa ananisalia mimi duniani zimemfikia. Zikaja zikamshika mkononi, zilimsaidia kusimama katika daraja la swiraat na zikamsaidia kuvuka juu yake."
Soma Zaidi »Qiyaam
11. Soma Ta’awwudh. Ta’awwudh ni kusoma: أَعُوْذُ بِاللهِ مِنَ الشَّيْطَانِ الرَّجِيْم Najikinga kwa Allah Ta’ala na shetani aliyelaaniwa.[1] Kumbuka: Dua-ul Istiftaah na Ta’awwudh itasomwa na munfarid (mwenye kuswali pekeyake) pamoja na imaam na muqtadi (anayemfuata imaam).[2] 12. Baada ya hapo somo la Surah Faatihah ikifuatiwa na surah au sehemu yoyote …
Soma Zaidi »Maswahaba wakijitolea kwa ajili ya Rasulullah (Sallallaahu ‘alaihi wasallam)
Nyumba ya Faatimah (radhiyallahu ‘anha) ilikuwa mbali na nyumba ya Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) siku moja alimwambia: “Ni matamanio yangu kwamba uishi karibu nami.” Faatimah (radhiyallahu ‘anha) akajibu, “Nyumba ya Haarithah iko karibu na nyumba yako. Ukimwomba abadilishe nyumba yake na yangu, atakubali kwa furaha.” Rasulullah …
Soma Zaidi »