admin

Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) Akisifu Kisomo cha Abdullah bin Mas’uud (Radhiya Allaahu ‘anhu)

Umar (Radhiya Allaahu ‘anhu) aliwahi kusimulia tukio lifuatalo: Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) alikuwa akiongea na Abu Bakr (Radhiya Allaahu ‘anhu) baada ya Esha na kujadiliana naye mambo ya Waislamu. Usiku mmoja, baada ya Esha, Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) alizungumza na Abu Bakr (Radhiya Allaahu ‘anhu) (kuhusu mambo ya Waislamu) na …

Soma Zaidi »

Sunna na Aadaab Za Kulala 5

16. Ni mustahab kufanya qailoolah (kulala mchana kidogo), kwa sababu hii itakusaidia kuamka Tahajjud. Ibnu Abbaas (Radhiyallahu anhuma) anaripoti kwamba Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) alisema, “Jisaidieni na saumu mchana kwa kula daku, na jisaidieni na kusimama tahajjud usiku kwa kulala mchana (qailoola).” 17. Hakikisha kwamba unaswali, unajishughulisha na dhikr au …

Soma Zaidi »

Sunna na Aadaab Za Kulala 4

14. Ukiona ndoto nzuri, basi sema Alhamdulillah. Unaweza kumsimulia mtu ambaye ana ujuzi katika tabiri za ndoto au kwa mtu ambaye ni mkutakia mema. Imepokewa kutoka kwa Abu Sa’eed Khudri (Radhiyallahu anhu) kwamba Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) amesema: “Mmoja wenu akiona ndoto nzuri inayomfurahisha, basi ahesabu hiyo ndoto kuwa ni …

Soma Zaidi »

Kufariki Kwa Abu Dhar (Radhiya Allaahu ‘anhu)

Wakati Abu Dhar (Radhiya Allaahu ‘anhu) alipokaribia mwisho wake, hapakuwa na mtu yoyote pamoja naye isipokuwa mke wake na mtumwa wake. Akawausia akisema, “Nipeni ghusl na nifunike ndani ya sanda (yaani baada ya mimi kufariki dunia). Kisha chukueni mwili wangu na kuuweka njiani, mwambieni msafari wa kwanza anapopita, “Huyu ni …

Soma Zaidi »

Sunna na Aadaab Za Kulala 4

12. Ikiwa macho yako yanafunguka usiku, basi soma dua ifuatayo na baada ya hapo unaweza kumuomba Mwenyezi Mungu chochote. Insha-Allah, dua yako itakubaliwa. لَا إِلٰهَ إِلَّا اللهُ وَحْدَهُ لَا شَرِيْكَ لَهُ لَهُ الْمُلْكُ وَلَهُ الْحَمْدُ وَهُوَ عَلٰى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيْرْ اَلْحَمْدُ لِلّٰهِ وَسُبْحَانَ اللهِ وَلَا إِلٰهَ إِلَّا اللهُ وَاللهُ أَكْبَرُ …

Soma Zaidi »

Abu Dharr (Radhiyallahu anhu) Akimfokea Mtumishi Wake

  Siku moja mtu mmoja wa kabila la Banu Sulaim alimwendea Abu dharr (Radhiya Allaahu anhu) na akamwambia: “Natamani kukaa nawe ili nifaidike na elimu yako ya maamrisho ya Allah Ta’ala na sunna za mtume (Sallallahu alaihi wasallam). Pia nitamsaidia mtumishi wako katika kuchunga ngamia.” Abu Dharr (Radhiyallahu anhu) akajibu: …

Soma Zaidi »

Sunna na Aadaab Za Kulala 3

8. Usilale juu ya tumbo lako. Ya’eesh Ghifaari (Radhiyallahu anhu) anaripoti: Wakati mmoja, nilikuwa nimelala kwenye tumbo msikitini kutokana na maumivu ya tumbo. Ghafla, mtu alikuja na kunishtuwa na mguu wake akisema, “Kulala katika hali hii (yaani. juu ya tumbo) haipendezwi na Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’alah) (Niligeuka kuangalia ni nani …

Soma Zaidi »

Heshima Kubwa Abu Dhar (Radhiyallahu ‘Anhu) Alikuwa Nayo Kwa Uthmaan (Radhiyallahu ‘Anhu)

Mtu kutoka katika kabila la Banu Sulaym alisimuliya yafuatayo: “Wakati mmoja nilikuwa nimekaa kwenye mkutano ambao Abu dhar alikuwepo pia. Wazo lilikuwa akilini mwangu kwamba labda Abu dharr amekasirishwa na Uthmaan (Radhiyallahu ‘Anhu) kwa sababu Uthmaan (Radhiyallahu anhu) alimuomba aondoke Madinah Munawwarah na aende kuishi katika sehemu inayoitwa Rabadha. Wakati …

Soma Zaidi »