1. Maneno ya iqaamah ni sawa sawa na maneno ya adhaan. Kwa hivyo, wakati wa kutoa iqaamah, inapaswa kusomwa kila kifungu cha maneno mara moja, isipokuwa قَدْ قَامَتِ الصَّلاَةْ (Qad Qaamatis Swalaah) ambayo itasemwa mara mbili. Kwa hivyo, baada ya حَيَّ عَلٰى الْفَلَاحْ (hayya ‘alal falaah), mtu atasema: قَدْ قَامَتِ …
Soma Zaidi »Yearly Archives: 2022
Kumswalia Nabii wa Allah ta’ala Mara elfu moja siku ya ijumaah
عن أنس بن مالك قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: من صلى علي في يوم الجمعة ألف مرة لم يمت حتى يرى مقعده من الجنة (أخرجه ابن شاهين بسند ضعيف كذا في القول البديع صـ ٣٩٧) Ana’s (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) amesema, “Yule ambae …
Soma Zaidi »Dua wakati wa Adhaan ya Maghrib
Soma dua ifuatayo wakati wa adhaan ya Maghrib au baada ya adhaan:[1] اَللّٰهُمَّ إِنَّ هٰذَا إِقْبَالُ لَيْلِكَ وَإِدْبَارُ نَهَارِكَ وَأَصْوَاتُ دُعَاتِكَ فَاغْفِرْ لِيْ Ewe Allah ta’ala! Huu ndio kuja kwake usiku na mchana kuondoka, na hizi ni sauti za waja wako wakiita (wa muadhin), basi nisamehe (dhambi zangu). عن أم …
Soma Zaidi »Kusherekea Siku Ya Valentine
Swali: Je, inajuzu kwa Muislamu kusherekea siku ya Valentine? Jibu: kusherekea siku ya valentine ni desturi ya makafiri na ni sehemu ya utamaduni wa makafiri. Tumeamrishwa katika hadithi mubaraka kujiepusha na kuwaiga makafiri katika mila na utamaduni wao. Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam) amesema: “yoyote atakae iga watu Dubai atakuwa miongoni …
Soma Zaidi »Surah ya Teen
وَالتِّينِ وَالزَّيْتُونِ ﴿١﴾ وَطُورِ سِينِينَ ﴿٢﴾ وَهَـٰذَا الْبَلَدِ الْأَمِينِ ﴿٣﴾ لَقَدْ خَلَقْنَا الْإِنسَانَ فِي أَحْسَنِ تَقْوِيمٍ ﴿٤﴾ ثُمَّ رَدَدْنَاهُ أَسْفَلَ سَافِلِينَ ﴿٥﴾ إِلَّا الَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ فَلَهُمْ أَجْرٌ غَيْرُ مَمْنُونٍ ﴿٦﴾ فَمَا يُكَذِّبُكَ بَعْدُ بِالدِّينِ ﴿٧﴾ أَلَيْسَ اللّٰـهُ بِاَحْكَمِ الْحَاكِمِينَ ﴿٨﴾ Na aapa kwa mtini na mzeituni; na kwa Mlima wa …
Soma Zaidi »Kupata Dua ya Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) kwa kumswalia Nabii wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam) katika siku ya Ijumaa
عن عمر بن الخطاب رضي الله عنه أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال: أكثروا الصلاة علي في الليلة الزهراء واليوم الأغر فإن صلاتكم تعرض علي فأدعو لكم وأستغفر (القربة لابن بشكوال، الرقم: 107، وسنده ضعيف كما في القول البديع صـ 335) Umar Bin Khattaab (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba …
Soma Zaidi »Fadhila Kubwa za Kumswalia Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) kwenye siku ya Ijumaah
عن أوس بن أوس قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: إن من أفضل أيامكم يوم الجمعة فيه خلق آدم وفيه قبض وفيه النفخة وفيه الصعقة فأكثروا علي من الصلاة فيه فإن صلاتكم معروضة علي قال: قالوا: يا رسول الله وكيف تعرض صلاتنا عليك وقد أرمت يقولون بليت فقال: …
Soma Zaidi »Dua baada ya Adhaan 2
2. Baada ya kusoma dua ya adhaan, dua ifuatayo inapaswa pia isomwe: أَشْهَدُ أَنْ لَّا إِلٰهَ إِلَّا اللهُ وَحْدَهُ لَا شَرِيْكَ لَهُ وَأَنَّ مُحَمَّدًا عَبْدُهُ وَرَسُوْلُهُ رَضِيْتُ بِاللهِ رَبًّا وَبِمُحَمَّدٍ رَسُوْلًا وَبِالْإِسْلَامِ دِيْنًا Nashuhudia kwamba hakuna mungu ila Allah subhaana wata’ala aliye peke na hana mshirika, na Sayyidina Muhammad (sallallahu …
Soma Zaidi »Tafseer ya Sura Alam Nashrah
أَلَمْ نَشْرَحْ لَكَ صَدْرَكَ ﴿١﴾ وَوَضَعْنَا عَنكَ وِزْرَكَ ﴿٢﴾ الَّذِي أَنقَضَ ظَهْرَكَ ﴿٣﴾وَرَفَعْنَا لَكَ ذِكْرَكَ ﴿٤﴾ فَإِنَّ مَعَ الْعُسْرِ يُسْرًا ﴿٥﴾ إِنَّ مَعَ الْعُسْرِ يُسْرًا ﴿٦﴾ فَإِذَا فَرَغْتَ فَانصَبْ ﴿٧﴾ وَإِلَىٰ رَبِّكَ فَارْغَب. Je! hatukukupanulia kifua chako, na tukakuondolea mzigo wako ambao ungeliweza kukuvunja mgongo wako. Na tumelitukuza utukufu wako …
Soma Zaidi »Kuzidisha kumswalia Nabii wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam) kwenye siku ya Ijumaah
عن أبي هريرة رضي الله عنه قال : قال رسول الله صلى الله عليه وسلم : أكثروا الصلاة علي في الليلة الزهراء واليوم الأغر فإن صلاتكم تعرض علي (المعجم الاوسط للطبراني وسنده ضعيف لكن يتقوى بشواهده كما في القول البديع صـ 325) Abu Hurayrah (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Rasulullah (sallallahu …
Soma Zaidi »