Sahaabah

Fikra Ya Umar (radhiyallahu ‘anhu) kwa ajili ya Swalaah

Asubuhi ambao Umar (radhiya allaahu ‘anhu) alichomwa kisu, Miswar bin Makhramah (radhiyallahu ‘anhu) alikuja kumuona. Alipoingia, alimkuta Umar (radhiya allaahu ‘anhu) amefunikwa akiwa na karatasi na kupoteza fahamu. Miswar (radhiya allaahu ‘anhu) akawauliza wale waliokuwepo pale, “yukoje?” Wakajibu, “Hana fahamu kama unavyoona.” Kwa vile kulikuwa hakuna muda mwingi uliobakia kwa …

Soma Zaidi »

Umar (radhiya alaahu ‘anhu) Akiwaheshimu Azwaaj-ul-Mutahharaat (radhiyallahu ‘anhun)

Aslam (rahimahullah), mtumwa wa Umar (radhiyallahu ‘anhu), anaripoti kwamba Umar (radhiyallahu ‘anhu) alikuwa na sahani tisa maalum zilizohifadhiwa kwa ajili ya kutuma zawadi kwa Azwaaj-ul-Mutahharaat (wakezake na Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) na mama wa ummah. Aslam (rahimahullah) alitaja kwamba wakati wowote chakula kizuri, tunda au nyama inapomjia Umar (radhiya allaahu …

Soma Zaidi »

Umar (radhiyallahu ‘anhu) Akijikumbusha Na Kuhesabiwa Huko Akhera

Licha ya Allah Ta’ala kumbariki Umar (radhiyallahu ‘anhu) kuwa miongoni mwa watu kumi walioahidiwa Jannah hapa duniani, na kuwa khalifa wa pili wa Uislamu, alikuwa mnyenyekevu mno na aliogopa sana kuwajibika mbele ya Allah Ta’ala Siku ya Qiyaamah. Imeripotiwa kwamba wakati mmoja, Umar (radhiyallahu ‘anhu) aliingia kwenye shamba fulani la …

Soma Zaidi »

Ali (radhiyallahu ‘anhu) Anatamani Kukutana na Allah Ta’ala akiwa na Vitendo vya Umar (radhiyallahu ‘anhu)

Ali (radhiyallahu ‘anhu) Anatamani Kukutana na Allah Ta’ala akiwa na Vitendo vya UmarAbdullah bin Abbaas (radhiya allaahu ‘anhuma) anataja: Nilikuwepo wakati mwili wa Umar (radhiya allaahu ‘anhu) ulipowekwa kwenye jeneza baada ya kifo chake cha kishahidi. Watu walianza kuuzunguka mwili wake. Wakati wakisubiri mwili wake unyanyuliwe na kuzikwa, walikuwa wakimswalia …

Soma Zaidi »

Furaha Ya Umar (Radhiyallaahu ‘anhu)

Umar (Radhiyallaahu ‘anhu) aliwahi kumwambia Abbaas (Radhiya Allaahu ‘anhu) (mjomba wa Rasulullah sallallahu ‘alaihi wasallam)) “nilikuwa na furaha zaidi na Uislamu waku kuliko Uislamu wa baba yangu, kwa sababu Uislamu wako ulileta furaha zaidi kwa Mtume (Sallallahu ‘alaihi wasallam) kuliko Uislamu wa baba yangu.” (Sharhu Ma’aanil Aathaar 3/321)

Soma Zaidi »

Abu Bakr – Ni Mfani Halisi wa Wema na Huruma

Wakati mmoja, Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) aliuliza kutoka kwa Maswahabah (radhiya allaahu ‘anhum), “Ni nani miongoni mwenu anafunga leo?” Abu Bakr (radhiya allaahu ‘anhu) akajibu: “Mimi Nimefunga leo.” Nabi (sallallahu ‘alaihi wasallam) akauliza: “Ni nani miongoni mwenu aliyemtembelea mgonjwa leo? Abu Bakr (radhiya allaahu ‘anhu) akajibu, “Mimi Nimemtembelea mgonjwa leo. …

Soma Zaidi »

Abu Bakr (Radhiya Allaahu ‘anhu) akiwa tayari kutoa kila kitu kwa ajili ya Rasulullah (Sallallahu’alaihi wasallam)

Wakati wa vita vya Badr, mtoto wa Abu Bakr Siddeeq (radhiya Allaahu ‘anhu), Abdur Rahmaan (Radhiyallahu ‘anhu), alipigana upande wa makafiri kwa vile alikuwa bado hajaukubali Uislamu. Baadaye, baada ya kusilimu, akiwa amekaa pamoja na baba yake, Abu Bakr Siddeeq (Radhiya Allaahu ‘anhu), alisema, “Ewe baba yangu kipenzi, wakati wa …

Soma Zaidi »

Mapenzi ya Abu Bakr (Radhiya Allaahu ‘anhu) Yanaendana na Mapenzi ya Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam)

Baada ya baba yake Abu Bakr (Radhiya Allaahu ‘anhu) kusilimu, Abu Bakr (Radhiya Allaahu ‘anhu) alizungumza na Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam) akisema: “Nakula kiapo kwa Yule aliye kuusieni haki! Ingawa nina furaha sana kuwa baba yangu amesilimu, furaha ambayo ningeipata kama mjomba wako, Abu Taalib, angesilimu, ingekuwa kubwa zaidi kuliko …

Soma Zaidi »