3. Soma Dua ya Tashahhud. اَلتَّحِيَّاتُ الْمُبَارَكَاتُ الصَّلَوَاتُ الطَّيِّبَاتُ لِلّٰهِ السَّلَامُ عَلَيْكَ أَيُّهَا النَّبِيُّ وَرَحْمَةُ اللّٰهِ وَبَرَكَاتُهُ سَلَامٌ عَلَيْنَا وَعَلٰى عِبَادِ اللّٰهِ الصَّالِحِيْنَ أَشْهَدُ أَنْ لَا إِلٰهَ إِلَّا اللهُ وَأَشْهَدُ أَنَّ مُحَمَّدًا رَّسُولُ اللّٰهِ Ibaadah zote za Kisomo zilizobarikiwa, ibaadah za kimwili ni za Allah Ta’ala. Amani ya Allah Ta’ala …
Soma Zaidi »Sunnah na Adabu Za Kusoma Qur’an Takatifu 8
23. Ikiwa umehifadhi sehemu yoyote ya Qur’an Majeed basi hakikisha kwamba unapitia na kufanya muraaja’a mara kwa mara ili usiisahau. Hadith imetahadharisha juu ya kupuzia kisomo cha Quraan Majeed na kusahau ulichohifadhi. Abu Muusa Ash’ari (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam ) alisema, “Ichunge (na ilinde) Quraan Takatifu. …
Soma Zaidi »Rakaa ya Pili
1. Unapoinuka kutoka kwenye sajdah, kwanza inua paji la uso na pua; kisha viganja vya mkoni na mwisho magoti. 2. Ukiwa unasimama kwa ajili ya rakaa ya pili, chukua usaidizi kutoka ardhini kwa kuweka mikono yako miwili juu yake. 3. Tekeleza rakaa ya pili kama kawaida (bila ya kusoma Dua- …
Soma Zaidi »Sunnah na Adabu Za Kusoma Qur’an Takatifu 7
22. Baada ya kumaliza kusoma Quraan Majeed yote basi soma dua ifuatayo: اَللّٰهُمَّ ارْحَمْنِيْ بِالْقُرْآنْ وَاجْعَلْهُ لِيْ إِمَاماً وَّهُدًى وَّرَحْمَةً اَللّٰهُمَّ ذَكِّرْنِيْ مِنْهُ مَا نَسِيْتُ وَعَلِّمْنِيْ مِنْهُ مَا جَهِلْتُ وَارْزُقْنِيْ تِلَاوَتَهُ آنَاءَ اللَّيْلِ وَأَطْرَافَ النَّهَارِ وَاجْعَلْهُ لِيْ حُجَّةً يَا رَبَّ الْعَالَمِيْنَ Ewe Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala)! Nimiminie rehema Yako makhsusi …
Soma Zaidi »Jalsah
1. Soma takbira na ukae katika hali ya jalsah. 2. Weka mguu wa kulia katika hali ukiwa umesimama huku vidole vyake vya miguu vikikandamizwa chini na vielekee kibla. Weka mguu wa kushoto pande na uukalie. 3. Kaa kwa namna ambayo mapaja yako yote yameunganishwa pamoja. 4. Weka mikono juu ya …
Soma Zaidi »Sajdah
1. Soma takbira na kisha nenda kwenye sajdah. 2. Weka mikono kwenye magoti huku ukiendelea kwenda kwenye sajdah. 3. Kwanza weka magoti chini, kisha mikono, na mwisho paji la uso na pua kwa pamoja. 4. Vidole viwekwe kwa pamoja na vielekee kibla. 5. Weka mikono yako chini kwa njia ambayo …
Soma Zaidi »Sunnah na Adabu Za Kusoma Qur’an Takatifu 6
18. Haijuzu kwa mtu kusoma sehemu yoyote ya Quraan Takatifu au kuchukua jina la Allah Ta’ala akiwa chooni. Vile vile ikiwa mtu ana pete au cheni ambayo juu yake imeandikwa jina la Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) au aya yoyote ya Quraan Majeed, basi aiondoe kabla ya kuingia chooni. Anas (radhiyallahu …
Soma Zaidi »Ruku na I’tidaal
7. Soma tasbeeh ifuatayo mara tatu au idadi yoyote isiyo ya kugawanyika: سُبْحَانَ رَبِّيَ الْعَظِيْم Utukufu ni wa Mola wangu Mkubwa. 8. Baada ya kusoma tasbihi, simama kutoka kwenye rukuu huku ukisema tasmee’: سَمِعَ اللهُ لِمَنْ حَمِدَهْ Allah Ta’ala Humsikia mwenye kumsifu. 9. Inua mikono (kama ilivyoelezwa katika takbeeratul ihraam) …
Soma Zaidi »Sunnah na Adabu Za Kusoma Qur’an Takatifu 5
15. Wakati wa kugeuza kurasa za Qur’an Takatifu, usiloweshe kidole chako na mate ili kugeuza kurasa. Hii haiendani na heshima tunayotakiwa kuionyesha Quraan Majeed. 16. Baada ya kuhitimisha Quraan Takatifu, unapaswa kushiriki katika dua kwa sababu huu ni wakati ambao dua zinakubaliwa. Thaabit (rahimahullah) anaripoti kwamba wakati wowote Anas bin …
Soma Zaidi »Rukuu na I’tidaal
1. Ukimaliza kusoma Surah Faatihah na Qiraah (Surah nyingine), tulia kwa muda na baada ya hapo inua mikono (kama ilivyoelezwa katika takbeeratul ihraam) huku ukisema takbira na endelea kwa kwenda kwenye rukuu. Kumbuka: Takbira ya intiqaaliyyah (takbira inayosomwa wakati wa kuhama kutoka kwenye mkao mmoja hadi mwingine) inapaswa kuanza mara …
Soma Zaidi »