admin

Kumcha Allah Taala

Qataadah (rahimahullah) anasimulia kwamba Abu Ubaidah (Radhiya Allaahu ‘anhu) alikuwa akisema, (kwa khofu ya kusimama mbele ya Allah Ta’ala Siku ya Qiyaamah na kutoa hesabu ya matendo yake): وددت أني كنت كبشا، فيذبحني أهلي، فيأكلون لحمي، ويحسون مرقي. “Jinsi ninavyotamani ningekuwa kondoo tu. Wamiliki wangu wangenichinja, kula nyama yangu na …

Soma Zaidi »

Sunnat Na Adabu Za Kuamkiana (Kutoa Salaam) 5

13. Unapotoka nyumbani, toka nyumbani na salamu. Qataadah (radhiyallahu anhu) ameripoti kuwa Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) amesema: “Mkiingia nyumbani, basi wapeni salamu waliomo ndani yake, na unapotoka (nyumbani), basi acha salamu yako kama amana kwa watu wa nyumbani kwako (yaani salamu kwa watu unapoondoka).”[1] Maelezo: Nabii (sallallahu alaihi wasallam) ametufundisha …

Soma Zaidi »

Fadhila Kubwa Ya Wazazi

Miongoni mwa neema kubwa za Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aalah) juu ya mtu ni neema ya wazazi. Neema ya wazazi ni neema yenye thamani sana na isiyoweza kubadilishwa hadi kwamba inapewa kwa mtu mara moja tu katika maisha yake. Kama vile neema za zingine za maisha inatolewa mara moja tu kwa …

Soma Zaidi »

Kujiepusha Kwa Abu Ubaidah (Radhiya Allaahu ‘anhu) Na Utajiri wa Dunia

Wakati Umar (Radhiya Allaahu ‘anhu) alipotoka Madinah Munawwarah kwenda Baitul Muqaddas ili kuliteka, alisimama Shaam kukutana na Maswahaba waliokuwa wakiishi huko. Maswahabah (Radhiya Allaahu ‘anhum) waliokuwa wakiishi Shaam na kutawala Shaam walipokuja kukutana naye, akawauliza, “Ndugu yangu yuko wapi?”maswahaabah (Radhiya Allaahu ‘anhu) wakauliza: “Unamtaja nani?” Umar (Radhiya Allaahu ‘anhu) akajibu, …

Soma Zaidi »

Sunnat Na Adabu Za Kuamkiana (Kutoa Salaam) 3

8. Unapojibu salamu, inajuzu kwako kujibu kwa salamu ambayo ni sawa na salamu iliyopokelewa. Lakini, ukijibu kwa salaam ndefu zaidi itakuwa bora na yenye thawabu zaidi. Kwa mfano, kama ulisalimiwa kwa maneno “Assalaamu alaikum”, basi unaweza kujibu kwa kusema “Wa alaikumus salaam”. Hata hivyo, ni bora na yenye thawabu zaidi …

Soma Zaidi »

Tafseer Ya Surah Faatihah

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ ‎﴿١﴾‏ الْحَمْدُ لِلَّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ ‎﴿٢﴾‏ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ ‎﴿٣﴾‏ مَالِكِ يَوْمِ الدِّينِ ‎﴿٤﴾‏ إِيَّاكَ نَعْبُدُ وَإِيَّاكَ نَسْتَعِينُ ‎﴿٥﴾‏ اهْدِنَا الصِّرَاطَ الْمُسْتَقِيمَ ‎﴿٦﴾‏ صِرَاطَ الَّذِينَ أَنْعَمْتَ عَلَيْهِمْ غَيْرِ الْمَغْضُوبِ عَلَيْهِمْ وَلَا الضَّالِّينَ ‎﴿٧﴾‏ Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola wa ulimwengu wote. Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu. Mfalme wa Siku ya kuhukumu. Wewe peke yako tunakuabudu, na Wewe …

Soma Zaidi »

Sunnat Na Adabu Za Kuamkiana (Kutoa Salaam) 2

4. Unatakiwa kutoa salaam kwa kusema “Assalaamu alaikum” unaweza pia kutoa salaam kwa kusema “Assalaamu alaikum wa rahmatullah” au “Assalaamu alaikum wa rahmatullahi wa barakaatuhu”. Kwa kutoa salaam ndefu, utapata thawabu zaidi. Imraan bin Husein (radhiyallahu anhu) anasimulia kwamba mtu mmoja alikuja kwa Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) na akamsalimia akisema: …

Soma Zaidi »