Swalah Ya Wanawake

Kila kipengele cha dini ya Kiislamu kinachohusiana na wanawake vimeengemezwa na unyenyekevu na aibu. Ni katika suala hili ndipo Uislamu unawaamrisha wanawake kubaki ndani ya mipaka ya nyumba zao, wakiwa wamejificha kabisa machoni kwa wanaume, na wasitoke majumbani mwao bila ya haja halali ya Sharia. Namna ambayo mwanamke ameamrishwa kuswali …

Soma Zaidi »

Qa’dah and Salaam

9. Usiinamishe au kutikisa kichwa wakati wa kutoa salaam. 10. Geuza uso wako pande zote mbili kwa kiasi ambacho mtu aliye nyuma ataweza kuona shavu lako.[1] 11. Baada ya salamu, soma  اَسْتَغْفِرُ الله mara tatu.[2] 12. Shiriki katika dua kwa sababu huu ni wakati wa kukubaliwa dua.[2] 13. Soma Tasbih …

Soma Zaidi »

Ulinzi Ndani Ya Kaburi

Zaidi ya hayo, imeripotiwa kwamba mtu ambaye ameshikamana na Qur-aan Tukufu anapofariki, kabla ya kuzikwa, wakati familia yake bado inashughulika na ibada ya mazishi yake, Qur-aan Tukufu humjia ikiwa na sura nzuri na kusimama kwenye upande wa kichwa chake, kumlinda na kumfariji mpaka avikwe na sanda. Kisha Quraan Tukufu itaingia …

Soma Zaidi »

Qa’dah na Salaam

7. Ikiwa ni qa’dah ya mwisho, basi soma tashahhud, Swalawaat Ebrahimiyyah na baada ya hapo fanya dua.[1] Swalawaat Ibrahimiyyah ni ifuatavyo:[2] اَللّٰهُمَّ صَلِّ عَلٰى مُحَمَّدٍ وَّعَلٰى اٰلِ مُحَمَّدٍ كَمَا صَلَّيْتَ عَلٰى إِبْرَاهِيْمَ وَعَلٰى اٰلِ إِبْرَاهِيْمَ  وَبَارِكْ عَلٰى مُحَمَّدٍ وَّعَلٰى اٰلِ مُحَمَّدٍ كَمَا بَارَكْتَ عَلٰى إِبْرَاهِيْمَ وَعَلٰى اٰلِ إِبْرَاهِيْمَ فِيْ الْعَالَمِيْنَ …

Soma Zaidi »

Abu Bakr – Ni Mfani Halisi wa Wema na Huruma

Wakati mmoja, Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) aliuliza kutoka kwa Maswahabah (radhiya allaahu ‘anhum), “Ni nani miongoni mwenu anafunga leo?” Abu Bakr (radhiya allaahu ‘anhu) akajibu: “Mimi Nimefunga leo.” Nabi (sallallahu ‘alaihi wasallam) akauliza: “Ni nani miongoni mwenu aliyemtembelea mgonjwa leo? Abu Bakr (radhiya allaahu ‘anhu) akajibu, “Mimi Nimemtembelea mgonjwa leo. …

Soma Zaidi »

Tafseer Ya Surah Ma’un

أَرَأَيْتَ الَّذِي يُكَذِّبُ بِالدِّينِ ‎﴿١﴾‏ فَذَٰلِكَ الَّذِي يَدُعُّ الْيَتِيمَ ‎﴿٢﴾‏ وَلَا يَحُضُّ عَلَىٰ طَعَامِ الْمِسْكِينِ ‎﴿٣﴾‏ فَوَيْلٌ لِّلْمُصَلِّينَ ‎﴿٤﴾‏ الَّذِينَ هُمْ عَن صَلَاتِهِمْ سَاهُونَ ‎﴿٥﴾‏ الَّذِينَ هُمْ يُرَاءُونَ ‎﴿٦﴾‏ وَيَمْنَعُونَ الْمَاعُونَ ‎﴿٧﴾‏ Je! Umemwona mwenye kuikataa Hukumu? Kisha yeye ndiye anaye msukuma yatima, na wala hahimizi kulisha masikini. Basi ole wao wanaoswali, ambao wanapuuza Swalah zao. Na wale ambao (wanafanya wema tu) kujionyesha, …

Soma Zaidi »

Kupata Uombezi Na Bashara wa Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam)

عن ابن عمر قال قال رسول الله صلى الله عليه وسلم من زار قبري وجبت له شفاعتي (سنن الدارقطني، الرقم: 2695) رواه البزار والدارقطني قاله النووي وقال ابن حجر في شرح المناسك: رواه ابن خزيمة في صحيحه وصححه جماعة كعبد الحق والتقي السبكي وقال القاري في شرح الشفا : صححه …

Soma Zaidi »

Usiku Ukisubiri Muda Maalum Wa Kisomo

Katika riwaya moja, imepokewa kwamba kila mtu aliyejifunza Qur-aan Takatifu (au kipande chake) anaposimama katika Swalaah kwa Muda mchache usiku, ili asome Qur-aan, basi usiku huo unaujulisha usiku unaofuata juu ya nyakati hizi maalum ambazo ulikuwa umeufurahiya. Usiku unaushawishi usiku unaofuata kungojea kwa hamu nyakati hizo maalum ambapo utasimama kusoma …

Soma Zaidi »

Qa’dah na Salaam

3. Soma dua ya Tashahhud.[1] اَلتَّحِيَّاتُ الْمُبَارَكَاتُ الصَّلَوَاتُ الطَّيِّبَاتُ لِلّٰهِ السَّلَامُ عَلَيْكَ أَيُّهَا النَّبِيُّ وَرَحْمَةُ اللّٰهِ وَبَرَكَاتُهُ سَلَامٌ عَلَيْنَا وَعَلٰى عِبَادِ اللّٰهِ الصَّالِحِيْن أَشْهَدُ أَنْ لَا إِلٰهَ إِلَّا اللهُ وَأَشْهَدُ أَنَّ مُحَمَّدًا رَّسُولُ اللّٰهِ Ibaadah zote za Kisomo zilizobarikiwa, ibaadah za kimwili ni za Allah Ta’ala. Amani ya Allah Ta’ala …

Soma Zaidi »