1. Unapoinuka kutoka kwenye sajdah, kwanza inua paji la uso na pua; kisha viganja vya mkoni na mwisho magoti. 2. Ukiwa unasimama kwa ajili ya rakaa ya pili, chukua usaidizi kutoka ardhini kwa kuweka mikono yako miwili juu yake. 3. Tekeleza rakaa ya pili kama kawaida (bila ya kusoma Dua- …
Soma Zaidi »Muislamu Wa Kwanza Kufanya Hijrah Pamoja Na Familia Yake
Anas (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Uthmaan (radhiyallahu ‘anhu) alikuwa ameondoka kwenda Abyssinia, akihijiria pamoja na mke wake mheshimiwa, Ruqayyah (radhiyallahu ‘anha), binti Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam). Habari za hali yao zilicheleweshwa, na Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) akawa na wasiwasi na alikuwa akitaka kutoka Makkah Mukarramah kupata habari zao. Hatimaye, mwanamke …
Soma Zaidi »Sunnah na Adabu Za Kusoma Qur’an Takatifu 7
22. Baada ya kumaliza kusoma Quraan Majeed yote basi soma dua ifuatayo: اَللّٰهُمَّ ارْحَمْنِيْ بِالْقُرْآنْ وَاجْعَلْهُ لِيْ إِمَاماً وَّهُدًى وَّرَحْمَةً اَللّٰهُمَّ ذَكِّرْنِيْ مِنْهُ مَا نَسِيْتُ وَعَلِّمْنِيْ مِنْهُ مَا جَهِلْتُ وَارْزُقْنِيْ تِلَاوَتَهُ آنَاءَ اللَّيْلِ وَأَطْرَافَ النَّهَارِ وَاجْعَلْهُ لِيْ حُجَّةً يَا رَبَّ الْعَالَمِيْنَ Ewe Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala)! Nimiminie rehema Yako makhsusi …
Soma Zaidi »Jalsah
1. Soma takbira na ukae katika hali ya jalsah. 2. Weka mguu wa kulia katika hali ukiwa umesimama huku vidole vyake vya miguu vikikandamizwa chini na vielekee kibla. Weka mguu wa kushoto pande na uukalie. 3. Kaa kwa namna ambayo mapaja yako yote yameunganishwa pamoja. 4. Weka mikono juu ya …
Soma Zaidi »Kununua Kisima katika Jannah
Maswahaabah (radhiya llaahu ‘anhum) walipohamia Madinah Munawwarah, maji Yaliopatikana Madinah Munawwarah yalikuwa vigumu kwao kunywa kutokana na maji kuwa chungu. Hata hivyo, kulikuwa na Myahudi mmoja anayeishi Madinah Munawaarah ambaye alikuwa na kisima chenye maji matamu kilichoitwa Roomah. Alikuwa akiuza maji ya kisima chake kwa Maswahabah (radhiyallahu ‘anhum). Rasulullah (sallallahu …
Soma Zaidi »Sajdah
1. Soma takbira na kisha nenda kwenye sajdah. 2. Weka mikono kwenye magoti huku ukiendelea kwenda kwenye sajdah. 3. Kwanza weka magoti chini, kisha mikono, na mwisho paji la uso na pua kwa pamoja. 4. Vidole viwekwe kwa pamoja na vielekee kibla. 5. Weka mikono yako chini kwa njia ambayo …
Soma Zaidi »Umar (Radhiya Allaahu ‘anhu) Akifurahishwa Na Mema Wakati wa Mwisho
Asubuhi wakati Umar (Radhiya Allaahu ‘anhu) alipochomwa kisu, kijana mmoja alimtembelea na kumwambia, “Ewe Ameer-ul-Momineen! Furahi kwa bashara kutoka kwa Allah Ta’ala! Wewe ni miongoni mwa Maswahaba wa Mtume (Sallallahu ‘alaihi wasallam) na wewe ni miongoni mwa waliosilimu siku za mwanzo kabisa. Baada ya hapo ukachaguliwa kuwa khalifa na ukafanya …
Soma Zaidi »Tafseer Ya Surah Nasr
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ إِذَا جَاءَ نَصْرُ اللَّهِ والْفَتْحُ ﴿١﴾ وَرَأَيْتَ النَّاسَ يَدْخُلُونَ فِي دِينِ اللَّهِ أَفْوَاجًا ﴿٢﴾ فَسَبِّحْ بِحَمْدِ رَبِّكَ وَاسْتَغْفِرْهُ ۚ إِنَّهُ كَانَ تَوَّابًا ﴿٣﴾ (Ewe Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam)) Itakapokuja nusura ya Allah Ta’ala na ushindi (utekaji wa Makka Mukarramah) na ukawaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) kwa wingi, …
Soma Zaidi »Sunnah na Adabu Za Kusoma Qur’an Takatifu 6
18. Haijuzu kwa mtu kusoma sehemu yoyote ya Quraan Takatifu au kuchukua jina la Allah Ta’ala akiwa chooni. Vile vile ikiwa mtu ana pete au cheni ambayo juu yake imeandikwa jina la Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) au aya yoyote ya Quraan Majeed, basi aiondoe kabla ya kuingia chooni. Anas (radhiyallahu …
Soma Zaidi »Ruku na I’tidaal
7. Soma tasbeeh ifuatayo mara tatu au idadi yoyote isiyo ya kugawanyika: سُبْحَانَ رَبِّيَ الْعَظِيْم Utukufu ni wa Mola wangu Mkubwa. 8. Baada ya kusoma tasbihi, simama kutoka kwenye rukuu huku ukisema tasmee’: سَمِعَ اللهُ لِمَنْ حَمِدَهْ Allah Ta’ala Humsikia mwenye kumsifu. 9. Inua mikono (kama ilivyoelezwa katika takbeeratul ihraam) …
Soma Zaidi »