Kukubalika Kwa Dua

عن عمر بن الخطاب قال: إن الدعاء موقوف بين السماء والأرض لا يصعد منه شيء حتى تصلي على نبيك صلى الله عليه وسلم (سنن الترمذي، الرقم: ٤٨٦) [1]

Imepokelewa kutoka kwa Umar (radhiallahu anhu) dua zinabaki zimesimamishwa kati ya mbigu na ardhi. Hazitafika mbinguni Kama salaam haijatumwa kwa Nabii (sallallahu alaihi wasallam) (yaani hakuna uwakika wa kukubalika).”

Kuongeza ‘Wasallam’ Katika Kumsalia Nabii (sallallahu alaihi wasallam)

Shekhe Ebrahim Nasafi (rahmatullahi alaih) ameleza:

Wakati mmoja, nilikuwa nimemuona Nabii wa Allah subhaana wata’alah (sallallahu alaihi wasallam) kwenye ndoto. Katika ndoto hiyo, nilikuwa sina uwakika kama hajanifurahia. Nikanyoosha mkono wangu, nikashika mikono ya Nabii wa Allah (sallallahu alaihi wasallam) na kuibusu.

Nikauliza na wasi wasi mwingi, ” ewe Nabii wa Allah (sallallahu alaihi wasallam), hakika mimi ni mmoja mwa watumishi wa hadith. mimi ni wa ahlus sunnah ( wale wanaofuata njia yako) na mimi ni msafiri kutoka mbali. Kuwa na rehma juu yangu. Je nimekukasirisha?” Nabii wa Allah (sallallahu alaihi wasallam) alitabasamu na kusema, kila unaponitumia salaam, kwa nini hausomi salaam?” Baada ya hapo, ikawa tabia yangu ya kudumu ya kusoma ‘ wasallam’ pia. (Al-Qawlul Badee, Pg,488)


  [1] ويتقوى ذلك بما أخرجه الترمذي عن عمر موقوفا الدعاء موقوف بين السماء والأرض لا يصعد منه شيء حتى يصلي على النبي صلى الله عليه وسلم (فتح الباري 11/164، وقد التزم الحافظ في الأحاديث التي سكت عنها في الفتح ألا تقل درجتها عن الحسن فقد قال في مقدمته المسماة بهدي الساري (صـ 7): ثم أستخرج ثانيا ما يتعلق به غرض صحيح في ذلك الحديث من الفوائد المتنية والاسنادية من تتمات وزيادات وكشف غامض وتصريح مدلس بسماع ومتابعة سامع من شيخ اختلط قبل ذلك منتزعا كل ذلك من أمهات المسانيد والجوامع والمستخرجات والأجزاء والفوائد بشرط الصحة أو الحسن فيما أورده من ذلك)

About admin

Check Also

Chanzo cha nuru siku ya Qiyaama

عن ابن عمر رضي الله عنهما قال قال رسول الله صلى الله عليه وسلم زينوا …