Swalah Ya Wanaume

Qiyaam

11. Soma Ta’awwudh. Ta’awwudh ni kusoma: أَعُوْذُ بِاللهِ مِنَ الشَّيْطَانِ الرَّجِيْم Najikinga kwa Allah Ta’ala na shetani aliyelaaniwa.[1] Kumbuka: Dua-ul Istiftaah na Ta’awwudh itasomwa na munfarid (mwenye kuswali pekeyake) pamoja na imaam na muqtadi (anayemfuata imaam).[2] 12. Baada ya hapo somo la Surah Faatihah ikifuatiwa na surah au sehemu yoyote …

Soma Zaidi »

Qiyaam

7. Wakati wa kusoma takbeertul ihraam (takbeer ya kufunga swalaah), hakikisha kwamba macho yako yanaanhalia sehemu ya kusujudu na kichwa chako kinaelekea Chino kidogo.[1] 8. Ikunje mikono chini ya kifua na juu ya kitovu.[2] 9. Shika kifundo cha mkono wa kushoto na mkono wa kulia alafu weka vidole vya mkono …

Soma Zaidi »

Qiyaam

1. Unapokusudia kuswali, simama na uelekee kibla.[1] 2. Wakati wa kusimama kwa ajili ya Swalah, simameni kwa heshima kubwa. Elekeza miguu yote miwili kuelekea kibla na acha nafasi wa takriban mkono mmoja kati yake. Wakati wa kuswali katika jamaa, nyoosha safu na usimame karibu iwezekanavyo, bila kuacha nafasi kati yenu. …

Soma Zaidi »

Kabla Ya Swalaah

5. Kabla ya kuanza kuswali, hakikisha kwamba mavazi yako ni ya heshima na sio yakubana. Epuka kuvaa mavazi ambayo hayana heshima badala vaa mavazi ambayo yanazingatia na utakatifu wa Swalaah, na pia epuka na mavazi ambayo yana picha au maandishi juu yake.[1] 6. Hakikisha kwamba unaswali kwa kuvaa kofia (ya …

Soma Zaidi »

Kabla ya Swalaah

1. Jitayarishe mapema kwa ajili ya Swalaah kabla ya muda wa Swalah kuingia, na hakikisha kwamba wewe sio tu umejitayarisha kimwili bali pia unafahamu kiakili kwamba unakwenda kujihudhurisha kwenye mahakama ya Mwenyezi Mungu.[1] 2. Hakikisha kwamba unaswali kila swalaa kwa wakati wake uliowekwa pamoja na jaamaa msikitini.[2] عن أبي هريرة …

Soma Zaidi »

Mawaidha kwa wale wanaopuuza Swalah pamoja na Jamaah msikitini

Ilikuwa ni matamanio ya Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) kwa wanaume kwenye ummah waswali pamoja na jamaah msikitini. Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) alikuwa akiumia sana aliposikia kuhusu wanaume wanaoswali majumbani mwao mpaka akasema: “Lau si wanawake na watoto, ninge toa amri kwa kundi la wavijana kukusanya kuni na kuchoma moto nyumba …

Soma Zaidi »

Muda na Namna Sahihi

Kama vile kuswali ni muhimu, kuitekeleza kwa wakati wake na kwa njia sahihi ni muhimu vile vile. Sayyidina Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) amesema, “Mtu anapotekeleza Swalaah yake kwa wakati wake uliowekwa pamoja na kufanya udhu vizuri kwa njia sahihi, akitimiza qiyaam ( kusimama katika swalaah), rukuu na sajdah kwa njia …

Soma Zaidi »

Swalah Ya Wanaume

Nafasi ya juu ambayo Swalah inashikilia katika maisha ya Muislamu haihitaji maelezo yoyote. Ukweli kwamba kitakuwa ni kipengele cha kwanza ambacho mtu ataulizwa Siku ya Qiyaamah ni ushahidi tosha wa umuhimu wake. Sayyidina Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) amesema: إن أول ما يحاسب الناس به يوم القيامة من أعمالهم الصلاة قال …

Soma Zaidi »