1. Unapokutana na ndugu yako Muislamu, muamkie kwa kutoa salaam. Ali (Radhiya Allaahu ‘anhu) anaripoti kwamba Mtume (sallallahu alaihi wasallam) alisema, “Muislamu ana haki sita juu ya ndugu yake Mwislamu. Akikutana naye amsalimie (kwa kutoa salaam); akimwalika, akubali mwaliko wake; anapotoa chafya (na kusema alhamdulillah), ajibu chafya yake kwa kusema …
Soma Zaidi »Matendo Ya Abu Ubaidah (Radhiya Allaahu ‘anhu) Yanwafikiana na Quran Majeed
Katika vita vya Badr, baba yake Abu Ubaidah aliendelea kumfuatilia akijaribu kumuua. Hata hivyo, yeye aliendelea kumkwepa baba yake ili asikutani naye na kumuua. Lakini, baba yake alipong’ang’ania na mwisho wakakutana na hapakuwa na njia nyingine ya kuokoa maisha ya baba yake isipokua kumuua baba yake, alikwenda mbele na kumuua. …
Soma Zaidi »Fadhila Za Kutoa Salaam
Fadhila Ya Kutoa Salaam Wakwanza Abdullah bin Mas’uud (Radhiya Allaahu ‘anhu) anasimulia kwamba Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) alisema, “Mwenye kutoa salaam wakwanza hana kiburi.” Jinsi ya Kuunda Upendo Kati Yetu Imepokewa kutoka kwa Abu Huraira (radhiyallahu ‘anhu) kwamba Mtume (sallallahu alaihi wasallam) amesema: “Hamtaingia Peponi mpaka mlete Imaan, na huwezi …
Soma Zaidi »Abu Ubaidah (Radhiya Allaahu ‘anhu) Apoteza Meno Yake Katika Vita Vya Uhud
Wakati wa vita vya Uhud, Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) alishambuliwa na maadui na viungo viwili vya kofia yake ya chuma vikapenya kwenye uso wake wa baraka. Abu Bakr Siddiq (Radhiya Allaahu ‘anhu) na Abu Ubaidah (Radhiya Allaahu ‘anhu) mara moja wakakimbia kwenda kumsaidia Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam). Abu Ubaidah (Radhiya …
Soma Zaidi »Salaam
Salaam ni kumsalimia muislamu. Kama vile Uislamu unavyosimamia amani, maamkizi ya Uislamu ni salamu ya amani na kueneza ujumbe ya amani. Salaam ni moja ya mila za kiislamu ambazo ni sifa ya Muislamu na umuhimu wake umesisitizwa sana katika hadith ya mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam). Abdullah bin Salaam (radhiyallahu ‘anhu) …
Soma Zaidi »Tamaa Ya Umar (Radhiya Allaahu ‘anhu) Kubarikiwa Na Chumba Kilichojaa Na Watu Kama Abu Ubaidah (Radhiya Allaahu ‘anhu)
Umar (Radhiya Allaahu ‘anhu) wakati fulani alikua amekaa pamoja na kundi la watu alipokuwa akiwahutubia na kuwauliza swali lifuatalo, “Niambieni nyinyi watu mnatamani kitu gani!” Mtu mmoja alisema: “mimi natamani chumba hiki kizima kijazwe na dirham (sarafu za fedha) na nizitoe zote katika Njia ya Allah Ta’ala.” Umar (Radhiya Allaahu …
Soma Zaidi »Sunnah Na Adabu Za Kuwatembelea Marehemu 4
14. Wasaidie waliofiwa kwa kuwapelekea chakula nyumbani kwao. Mtume (Sallallahu ‘alaihi wasallam) amewafundisha Maswahaba (radhiyallahu ‘anhum) kuonesha huruma kwa wafiwa na kuwasaidia wakati wa huzuni zao. Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) aliwahimiza Maswahaba (Radhiya Allaahu ‘anhum) kuandaa chakula na kupeleka kwa ajili ya familia, kwa sababu kupata msiba huu itakuwa vigumu …
Soma Zaidi »Tukio La Mchamungu, Abdullah Bin Marzooq
Abdullah bin Marzooq (rahimahullah) alikuwa mja mchamungu wa Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aalah)na alikuwa katika zama za Muhadditheen wakubwa, Sufyaan bin Uyainah na Fudhail bin Iyaadh (rahimahumullah). Mwanzoni, alikuwa na mwelekeo wakupenda dunia na hakujitolea kwenye mambo ya dini. Hata hivyo, Allah Ta‘ala akambariki na tawfeeq ya kutubia na kurekebisha maisha …
Soma Zaidi »Uaminifu Mkubwa Wa Abu Ubaidah bin Jarrah (Radhiya Allaahu ‘anhu)
Baada ya kusilimu, watu wa Najraan walikuja kwa Mtume (Sallallahu ‘alaihi wasallam) na wakamwomba awapelekee mtu mwaminifu (anayeweza kuwafundisha Dini). Mtume (Sallallahu ‘alaihi wasallam) akawaambia: لأبعثن إليكم رجلا أمينا حق أمين “Nitawatumia mtu mwaminifu, hakika ni mwaminifu sana.” Katika hatua hiyo, Maswahaabah (Radhiya Allaahu ‘anhum) waliokuwepo wote walitamani kuwa wapokezi …
Soma Zaidi »Sunnah Na Adabu Za Kuwatembelea Marehemu 3
9. Ni makrooh kwa mtu kufanya ta’ziya kwa mara ya pili wakati tayari ameshafanya ta’ziya kabla. 10. Ni vyema kufanya ta’ziya baada ya kuzika. Hata hivyo, inaruhusiwa kufanya ta’ziya kabla ya kuzikwa. 11. Ikiwa mtu hawezi kwenda kufanya ta’ziya kutokana na dharura, basi anaweza kuandika barua au kutuma message kwa …
Soma Zaidi »