Sura Maalum Kwenye Nyakati na Matukio Mbalimbali 2

4. Soma Surah Yaseen kila asubuhi na jioni. Ibnu Abbaas (radhiyallahu anhuma) anaripoti kwamba, “Yoyote anayesoma Sura Yaaseen asubuhi, kazi yake ya siku hiyo nzima itarahisishwa, na yoyote atakayeisoma mwisho wa siku, kazi yake mpaka asubuhi itarahisishwa.”[1] Jundub (radhiyallahu anhu) anasimulia kwamba Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) amesema: “Mwenye kusoma Sura …

Soma Zaidi »

Qunoot

1. Ni Sunnah kusoma Qunoot katika rakaa ya pili ya Alfajiri. Qunoot itasomwa katika rakaa ya pili pindi unaposimama baada ya rukuu. Mtu atasoma kwanza tahmiid (ربنا لك الحمد) na baada ya hapo ataisoma Qunout. 2. Wakati wa kusoma Qunoot, mtu atainua mikono yake sambamba na kifua chake na kufanya …

Soma Zaidi »

Kuwa Mlaini na Mpole Unapojishughulisha na Watu:

‘Ataa bin Farrookh (rahimahullah) anasimulia yafuatayo: Wakati mmoja, ‘Uthmaan (radhiya allaahu ‘anhu) alinunua kiwanja kutoka kwa mtu fulani. Baada ya kununua ardhi, ‘Uthmaan (Radhiya Allaahu ‘anhu) alimsubiri mtu huyo aje kuchukua pesa zake. Lakini mtu huyo hakuja. ‘Uthmaan (radhiya allaahu ‘anhu) alipokutana na mtu huyo baadaye, alimuuliza, “Kwa nini hukuja …

Soma Zaidi »

Tafseer Ya Surah Lahab

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ تَبَّتْ يَدَا أَبِي لَهَبٍ وَتَبَّ ‎﴿١﴾‏ مَا أَغْنَىٰ عَنْهُ مَالُهُ وَمَا كَسَبَ ‎﴿٢﴾‏ سَيَصْلَىٰ نَارًا ذَاتَ لَهَبٍ ‎﴿٣﴾‏ وَامْرَأَتُهُ حَمَّالَةَ الْحَطَبِ ‎﴿٤﴾‏ فِي جِيدِهَا حَبْلٌ مِّن مَّسَدٍ ‎﴿٥﴾‏ Iangamie mikono yake miwili ya Abu Lahab, na aangamie! Mali yake hayakumnufaisha wala aliyo yachuma. Hivi karibuni ataingia kwenye moto uliojaa miali ya moto, pamoja na mke …

Soma Zaidi »

Sura Maalum Kwenye Nyakati na Matukio Mbalimbali 1

Kuna baadhi ya surah ambazo zinatakiwa kusomwa kwenye nyakati maalum wakati wa usiku na mchana au katika siku fulani ndani ya week. Ni mustahab kwa mtu kusoma surah hizi kwa muda wake. 1. Soma Surah Kaafirun kabla ya kulala Imepokewa kutoka kwa Jabalah bin Haarithah (radhiyallahu ‘anhu) kwamba Mtume (Sallallahu …

Soma Zaidi »

Qa’dah Na Salaam

7. Ikiwa ni qa’dah ya mwisho, basi soma tashahhud, Swalawaat Ebrahimiyyah na baada ya hapo fanya dua. Swalawaat Ibrahimiyyah ni ifuatavyo: اَللّٰهُمَّ صَلِّ عَلٰى مُحَمَّدٍ وَّعَلٰى اٰلِ مُحَمَّدٍ كَمَا صَلَّيْتَ عَلٰى إِبْرَاهِيْمَ وَعَلٰى اٰلِ إِبْرَاهِيْمَ  وَبَارِكْ عَلٰى مُحَمَّدٍ وَّعَلٰى اٰلِ مُحَمَّدٍ كَمَا بَارَكْتَ عَلٰى إِبْرَاهِيْمَ وَعَلٰى اٰلِ إِبْرَاهِيْمَ فِيْ الْعَالَمِيْنَ …

Soma Zaidi »

Hayaa ya ‘Uthmaan (radhiya allaahu ‘anhu)

‘Aaishah (radhiya allaahu ‘anha) anasimulia yafuatayo: Wakati mmoja, Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alikuwa amelala chini nyumbani kwangu na kanzu yake ilihamishwa kidogo kutoka eneo la paja lake au goti lake, ingawa paja lake na goti yalifunikwa na kikoyi chake. Wakati huo, Abu Bakr (radhiya allaahu ‘anhu) aliomba ruhusa ya kuingia. …

Soma Zaidi »

Qa’dah Na Salaam

3. Soma Dua ya Tashahhud. اَلتَّحِيَّاتُ الْمُبَارَكَاتُ الصَّلَوَاتُ الطَّيِّبَاتُ لِلّٰهِ السَّلَامُ عَلَيْكَ أَيُّهَا النَّبِيُّ وَرَحْمَةُ اللّٰهِ وَبَرَكَاتُهُ سَلَامٌ عَلَيْنَا وَعَلٰى عِبَادِ اللّٰهِ الصَّالِحِيْنَ أَشْهَدُ أَنْ لَا إِلٰهَ إِلَّا اللهُ وَأَشْهَدُ أَنَّ مُحَمَّدًا رَّسُولُ اللّٰهِ Ibaadah zote za Kisomo zilizobarikiwa, ibaadah za kimwili ni za Allah Ta’ala. Amani ya Allah Ta’ala …

Soma Zaidi »

Sunnah na Adabu Za Kusoma Qur’an Takatifu 8

23. Ikiwa umehifadhi sehemu yoyote ya Qur’an Majeed basi hakikisha kwamba unapitia na kufanya muraaja’a mara kwa mara ili usiisahau. Hadith imetahadharisha juu ya kupuzia kisomo cha Quraan Majeed na kusahau ulichohifadhi. Abu Muusa Ash’ari (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam ) alisema, “Ichunge (na ilinde) Quraan Takatifu. …

Soma Zaidi »

Bashara Za Jannah

Abu Muusa (Radhiya Allaahu ‘anhu) anasimulia yafuatayo: Wakati fulani nilikuwa na Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam) katika bustani mmoja wa Madina Munawwarah alipokuja mtu na kuomba ruhusa ya kuingia kwenye bustani hiyo. Aliposikia ombi la mtu huyo, Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam) akaniambia: “Mruhusu aingie na umpe bashara ya daraja la juu …

Soma Zaidi »