Matamanio Ya Umar (radhiya allaahu ‘anhu) Kuzikwa Pamoja Na Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam)

  Katika dakika za mwisho baada ya Umar (radhiya allaahu ‘anhu) kuuawa kwa kuchomwa kisu, alimtuma mwanawe, Abdullah bin Umar (radhiya allaahu ‘anhuma), nyumbani kwa Aaishah (radhiyallahu ‘anha). Umar (radhiya Allaahu ‘anhu) alimuagiza akisema, “Mwambie kwamba Umar anatoa salaam. Usiseme kwamba Ameer-ul-Mu’mineen anafikisha salaam, kwa sababu leo mimi sio Amirul-Mu’mineen …

Soma Zaidi »

Sunnah na Adabu Za Kusoma Qur’an Takatifu 5

15. Wakati wa kugeuza kurasa za Qur’an Takatifu, usiloweshe kidole chako na mate ili kugeuza kurasa. Hii haiendani na heshima tunayotakiwa kuionyesha Quraan Majeed. 16. Baada ya kuhitimisha Quraan Takatifu, unapaswa kushiriki katika dua kwa sababu huu ni wakati ambao dua zinakubaliwa. Thaabit (rahimahullah) anaripoti kwamba wakati wowote Anas bin …

Soma Zaidi »

Rukuu na I’tidaal

1. Ukimaliza kusoma Surah Faatihah na Qiraah (Surah nyingine), tulia kwa muda na baada ya hapo inua mikono (kama ilivyoelezwa katika takbeeratul ihraam) huku ukisema takbira na endelea kwa kwenda kwenye rukuu. Kumbuka: Takbira ya intiqaaliyyah (takbira inayosomwa wakati wa kuhama kutoka kwenye mkao mmoja hadi mwingine) inapaswa kuanza mara …

Soma Zaidi »

Unyenyekevu Wa Umar (radhiya allaahu ‘anhu)

Miswar bin Makhramah (radhiya allaahu ‘anhu) anaeleza kwamba wakati Umar (radhiya allaahu ‘anhu) alichomwa kisu, akaanza kuhuzunika na akawa na wasiwasi mkubwa juu ya ummah. Abdullah bin Abbaas (radhiya allaahu ‘anhuma) akamfariji na kusema: “Ewe Ameer-ul-Mu’mineen! Hakuna haja ya wewe kuhuzunika. Ulibakia katika kundi la Rasulullah (sallallahu’alaihi wasallam) na ukatimiza …

Soma Zaidi »

Sunnah na Adabu Za Kusoma Qur’an Takatifu 4

12. Unapozungumzia kuhusu Qur’an, basi ipe cheo cha heshima kama vile Quraan Majeed, Quraan Kareem, Quraan Tukufu, Quraan Takatifu, n.k. 13. Soma Quran Majeed kwa sauti nzuri. Vile vile, unapaswa kujiepusha na kuiga sauti na urembaji wa nyimbo na mitindo ya waimbaji, nk.[1] Baraa ibn Aazib (radhiyallahu ‘anhu) anasema kwamba …

Soma Zaidi »

Sunnah na Adabu Za Kusoma Qur’an Takatifu 3

9. Soma ta’awwudh (a’uudhu billah) unapoanza kusoma Quran Takatifu. فَإِذَا قَرَأْتَ الْقُرْآنَ فَاسْتَعِذْ بِاللَّهِ مِنَ الشَّيْطَانِ الرَّجِيمِ ‎﴿٩٨﴾ Unapokusudia kusoma Quran, basi jikinge kwa Mwenyezi Mungu na Shetani, aliyekataliwa.[1] 10. Unapaswa kusoma Qur’an Takatifu wakati moyo wako uko makini kwenye kusoma. Ikiwa unahisi uchovu na unaona kuwa uzingatio wako umeathiriwa, basi …

Soma Zaidi »

Qiyaam

15. Ikiwa unaswali rakaa tatu au nne, basi katika rakaa ya tatu na ya nne utasoma tu Surah Faatihah. Hupaswi kusoma surah yoyote baada ya kusoma Surah Faatihah. Kumbuka: Katika rakaa ya tatu na ya nne kwenye swala ya fardh, Surah Faatihah itasomwa na imaam, muqtadi (mfwasi nyuma ya imaam) …

Soma Zaidi »

Dhul Hijjah – Mwezi wa Hajj na Kuchinja

Dhul Hijjah ni mwezi wa mwisho wa kalenda ya Kiislamu. Ingawa mwezi mzima wa Dhul Hijjah ni mtukufu na wenye baraka, siku kumi za kwanza za Dhul Hijjah zina utukufu na fadhila kubwa zaidi. Kuhusiana na siku kumi za mwanzo za Dhul-Hijjah, Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema: “Siku bora zaidi …

Soma Zaidi »

Bahili wa kweli

عن حسين بن علي بن أبي طالب قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: البخيل الذي من ذكرت عنده فلم يصل علي (سنن الترمذي، الرقم: 3546، وقال هذا حديث حسن صحيح غريب) Sayyidina Husain (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema, “bakhili wa kweli ni yule ambaye …

Soma Zaidi »