Mapenzi ya Zaid bin Dathinah (radhiyallahu ‘anhu) kwa Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam)

Makafiri walipokaribia kumuuwa sahabi mkubwa, Zaid bin Dathinah (radhiyallahu ‘anhu), wakamuuliza, “Je, ungekuwa na furaha zaidi kama Muhammad (sallallahu alaihi wasallam) angekuwa katika nafasi yako na ukaachwa huru kuwa pamoja na familia yako?”

Jibu lake la papo kwa papo lilikuwa, “Wallahi, siwezi hata kustahimili kuwa nimekaa kwa raha na familia yangu huku hata mwiba unamchoma Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) aliposikia haya, Abu Sufyaan alisema, “Hakuna mfanano popote duniani na upendo ambao maswahaba wa Muhammad (sallallahu alaihi wasallam) wanao kwake.

About admin

Check Also

Abdullah bin Mas’uud (Radhiya Allaahu ‘anhu) na Elimu yake ya Qur-aan Majeed.

Shaqeeq bin Salamah (rahimahullah), mwanafunzi wa Abdullah bin Mas’uud (Radhiya Allaahu ‘anhu), anasimulia kwamba wakati …