Abu Dardaa (Radhiya Allaahu ‘anhu) ametaja: “Siku moja, Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam) aliniona nikitembea mbele ya Abu Bakr (Radhiyallahu ‘anhu). “Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam) alipoona hili, aliniambia: “Usitembee mbele ya aliye bora kuliko wewe (yaani Abu Bakr (Radhiya Allaahu anhu)” Baada ya hapo Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam) akaeleza fadhila kubwa …
Soma Zaidi »Yearly Archives: 2023
Mtu Kuona Makazi Yake Peponi
عن أنس بن مالك قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: من صلى علي في يوم الجمعة ألف مرة لم يمت حتى يرى مقعده من الجنة (أخرجه ابن شاهين بسند ضعيف كذا في القول البديع صـ ٣٩٧) Sayyidina Anas (radhiyallahu anhu) ameripoti kwamba Nabii wa Allah (sallallahu alaih wasallam) …
Soma Zaidi »Sajdah
1. Soma takbira na bila kuinua mikono yako, Kisha nenda kwenye sajdah.[1] 2. Weka mikono (viganja) kwenye magoti huku ukiendelea kwenda kwenye sajdah.[2] 3. Kwanza weka magoti chini, kisha mikono (viganja), na mwisho paji la uso na pua kwa pamoja.[3] 4. Weka mikono yako chini kwa njia ambayo vidole na …
Soma Zaidi »Sayyidina Abu Bakr Siddiq (radhiyallahu ‘anhu) Katika Pango la Thaur
Wakiwa ndani ya pango katika safari ya hijrah, imepokelewa kuwa Abu Bakr Siddiq (radhiyallahu ‘anhu) alikuwa na wasiwasi kwamba asitokee mdudu yeyote kwenye shimo lolote ndani ya pango na kumdhuru Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) Kwa hivyo, alianza kufunika shimo zote ndani ya pango kwa kutumia vipande vya nguo yake ya …
Soma Zaidi »Kupata Maombezi Ya Nabii Wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam)
عن أبي الدرداء قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: من صلى علي حين يصبح عشرا وحين يمسي عشرا أدركته شفاعتي يوم القيامة (رواه الطبراني بإسنادين وإسناد أحدهما جيد ورجاله وثقوا كذا في مجمع الزوائد، الرقم: ١٧٠٢٢) Sayyidina Abu Dardaa (radhiyallahu ‘anhu) ameripoti kwamba Nabii wa Allah (sallallahu ‘alaihi …
Soma Zaidi »Ruku na I’tidaal
6. Hakikisha kwamba mikono imewekwa mbali na mwili.[1] 7. Soma tasbeeh ifuatayo mara tatu au idadi yoyote isiyo na maganyiko:[2] سُبْحَانَ رَبِّيَ الْعَظِيْم Utukufu ni wa Mola wangu Mkubwa 8. Baada ya kusoma tasbihi, simama kutoka kwenye rukuu huku ukisema tasmee’:[3] سَمِعَ اللهُ لِمَنْ حَمِدَهْ Allah Ta’ala Humsikia mwenye kumsifu …
Soma Zaidi »Abu Bakr (radhiyallahu ‘anhu) akijitolea Mali yake Kwa Sababu ya Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam)
Abu Hurairah (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema: “Hakuna mali ya mtu iliyoninufaisha zaidi kama mali ya Abu Bakr (radhiyallahu’anhu). Aliposikia hivyo, Abu Bakr (radhiyallahu ‘anhu) akaanza kulia na kusema, “Mali yangu yote na mimi pia ni wa kwako, Ewe Nabi Wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam)! Katika …
Soma Zaidi »