7. Ingia msikitini kwa mguu wa kulia.
Imepokewa kwamba Sayyidina Anas (radhiyallahu ‘anhu) amesema, “Imetoka kwenye Sunna kwamba unapoingia msikitini uingie kwa mguu wako wa kulia, na unapotoka msikitini utoke kwa mguu wako wa kushoto.
Soma Zaidi »7. Ingia msikitini kwa mguu wa kulia.
Imepokewa kwamba Sayyidina Anas (radhiyallahu ‘anhu) amesema, “Imetoka kwenye Sunna kwamba unapoingia msikitini uingie kwa mguu wako wa kulia, na unapotoka msikitini utoke kwa mguu wako wa kushoto.
Soma Zaidi »6. Soma dua za masnoon unapoelekea msikitini. Baadhi ya dua za masnoon ni: Dua ya Kwanza: Mwenye kusoma dua ifuatayo wakati wa kuondoka kwenda msikitini hupata rehema khaas za Allah ta’ala, na Malaika elfu sabini watamuombea dua ya msamaha.[1] اَللّٰهُمَّ إِنِّيْ أَسْأَلُكَ بِحَقِّ السَّائِلِيْنَ عَلَيْكَ وَأَسْأَلُكَ بِحَقِّ مَمْشَايَ هٰذَا فَإِنِّيْ …
Soma Zaidi »4. Nenda msikitini kwa utulivu na kwa njia ya heshima. Usije mbio msikitini na kukimbia.[1] عن أبي هريرة رضي الله عنه قال سمعت رسول الله صلى الله عليه وسلم يقول إذا أقيمت الصلاة فلا تأتوها تسعون وأتوها تمشون عليكم السكينة فما أدركتم فصلوا وما فاتكم فأتموا (صحيح البخاري، الرقم: 908) …
Soma Zaidi »1. Vaa vizuri ipasavyo unapokuja msikitini.[1] يٰبَنِىٓ اٰدَمَ خُذُوْا زِينَتَكُمْ عِندَ كُلِّ مَسْجِدٍ Allah subhaana wata’ala Anasema, “Enyi wana wa Aadam, chukueni mapambo wakati wa kuswali katika msikiti.[2] 2. Ondoa harufu mbaya mwilini, kwenye nguo au mdomo wako kabla ya kuingia msikitini mfano baada ya kula vitunguu au kitu chenye …
Soma Zaidi »4. Kuenda msikitini mara Kwa mara ni njia ya usalama kwa Imaan na Dini ya mtu.
Sayyiduna Mu’aaz bin Jabal (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Sayyidina Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) amesema: "Hakika Shaitaan ni mbwa mwitu wa mwanadamu (anayemuwinda mtu), kama jinsi mbwa mwitu wa mbuzi anayemkamata mbuzi aliye mbali na kujitenga na kundi. Jiepusha na kuishi kwa kujitenga kwenye tambarare (au kujiepusha na maoni yaliyotengwa) na kushikilia kwa uthabiti wa Ahlus Sunnah wal Jamaa’ah na kubaki na ummah walio wengi na kushikamana na msikiti.”
Soma Zaidi »1. Kufanya udhu nyumbani na kutembea kwenda msikitini kuswali ni njia ya mtu kusamehewa madhambi yake na daraja lake kuinuliwa.
Sayyidina Abu Hurairah (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Sayyidina Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) kasema, “Mwenye kutawadha nyumbani na baada ya hapo kutembea kuelekea kwenye nyumba miongoni mwa nyumba za Allah (subhaana wata'ala) ili akamilishe faradhi ya Allah (subhaana wata'ala), Basi Kwa kila hatua moja anachukuwa, dhambi moja inasamehewa, na kwa hatua inayofuata, atainuliwa daraja moja."
Soma Zaidi »1. Misikiti imetangazwa kuwa ndio sehemu inayopendwa zaidi kwa Allah subhaana wata’ala. عن أبي هريرة رضي الله عنه أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال أحب البلاد إلى الله مساجدها وأبغض البلاد إلى الله أسواقها (صحيح مسلم، الرقم: 671) Sayyidina Abu Hurairah (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Sayyidina Rasulullah (sallallahu …
Soma Zaidi »