Dini ya Uislamu pamoja na nguzo zake zote, hutegemea msingi wa imani na imani sahihi. ikiwa imani ya mtu sio sahihi, lakini haitamfanya atoke kwenye zizi la Uislamu, basi hata kama anaweza kujitahidi kutekeleza matendo ya uadilifu na ya haki, hatapokea ahadi zilizoahidiwa kama imani yake ambayo ni msingi wa …
Soma Zaidi »Malaika sabini wanarikodi thawabu kwa siku elfu moja
Sayyidina ibn Abbaas (radhiyallahu ‘anhuma) anasimulia kwamba Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema, "Yoyote atakayenitumia salaam ifuatayo, (akajishughulisha na) akawachosha malaika sabini (katika kurikodi thawabu ya salaam iliyosomwa) kwa siku elfu moja."
Allah subhaana wata'ala amlipe Nabii Muhammad (sallallahu ‘alaihi wasallam) kwa niaba yetu kama anavyostahili (yaani: thawabu inayostahili nafasi yake tukufu).
Soma Zaidi »Kupata Maombezi Ya Nabii Wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam)
Sayyidina Abu Dardaa (radhiyallahu ‘anhu) ameripoti kwamba Nabii wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam) amesema, "yoyote ambaye atakaye nitumie salaam mara kumi asubuhi na mara kumi jioni, atapata msaada wangu siku ya qiyama."
Soma Zaidi »Muharram na Aashura
Ni mfumo wa Allah ambao ametoa wema maalum na umuhimu kwa baadhi ya mambo juu ya mengine. kutoka kwa wanadamu, manabii wamebarikiwa na vyeo na hali ya juu ya wengine. kutoka sehemu tofauti ulimwenguni haramain shareefain (Makka mukarrama na madina munawwara) na musjid Alaqsa wamepewa daraja maalum juu ya ulimwengu …
Soma Zaidi »Mahitaji Ya Dunia Na Ya Aakhera Kutimizwa Kwa Kumsalia Nabii Wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam) Siku Ya Ijumaa
Sayyidina Anas Bin Maalik (radhiyallahu ‘anhu) ameripoti kwamba Nabii wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam) amesema, wale miongoni mwenu wanao niswalia zaidi duniani watakuwa karibu na mimi siku ya qiyamah, kila wakati. Yoyote ambaye ananiswalia usiku wa ijumaa na mchana wa ijumaa, Allah subhaana wata'alah atatimiza haja zake mia moja, mahitaji sabini ni aakhera na mahitaji thelathini ni ya duniani. baada ya kuniswalia, Allah subhaana wata'alah atamkabidhi malaika ambaye ataniletea kaburini, kama vile zawadi imeletwa kwako. Malaika wananijulisha mtu aliye niswalia kwa kuniambia jina lake na family yake. Kisha natunza salaam kwangu kwenye kitabu cheupe.
Soma Zaidi »Fadhila Za Kutumia Miswaki-Sehemu Ya Kwanza
1. Utumiaji wa miswaki unazisha dhawabu ya swala mara sabini.
Sayyidatuna Aaishah (radhiyallahu ‘anha) ameripoti kwamba Nabii wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam) amesema, "Swala iliyo swaliwa baada ya kutumia miswaaki ni bora kuliko swaala iliyoswaliwa bila kupiga mswaaki"
Soma Zaidi »Nabii Wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam) Akimuobea Msamaha Mtu
Sayyidina Umar Bin Khattaab (radhiyallahu ‘anhu) ameripoti kwamba Nabii wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam) amesema, "zidisheni kunitumia mimi salaam usiku wa ijumaa na mchana wa ijumaa kwa sababu salaam zenu zinaletwa kwangu. Kisha naomba dua kwa ajili yako na muomba Allah subhaana wata'alah akusamehe madhambi yako."
Soma Zaidi »Nyakati Za Sunna Kwenye Kufanya Ghusl
4. Kuingia kwenye ihraam.
Sayyidina Zaid Bin Thabit (radhiyallahu ‘anhu) ameripoti kwamba aliona Nabii wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alitoa nguo yake kwa ajili (kuingia) iharaam na alifanya ghusl.
5. Kwa kuingia makkah mukarramah.
Soma Zaidi »Kupata Maombezi Ya Nabii Wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam)
عن رويفع بن ثابت قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: من صلى على محمد وقال: اللهم أنزله المقعد المقرب عندك يوم القيامة، وجبت له شفاعتي (المعجم الكبير للطبراني، الرقم: ٤٤٨٠، وإسناده حسن كما في مجمع الزوائد، الرقم: ١٧٣٠٤) Sayyidina Ruwaifi Bin Thaabit Al ansaari (radhiyallahu ‘anhu) ameripoti kwamba …
Soma Zaidi »Nyakati Za Sunna Kwenye Kufanya Ghusl
Kuna nyakati nyingi za sunna kwa mtu anaye fanya ghusl. Baadhi ya hizi nyakati ni:
1. Siku ya ijumaa.
Soma Zaidi »