Yearly Archives: 2021

Imani kuhusu Allah subhaanawata’ala

7. Allah subhaana wata’ala hazuiliwi kwa nafasi au wakati. Badala yake, yeye ndiye muundaji wa nafasi na wakati.[1] 8. Allah subhaana wata’ala ni Mwenye nguvu na Anajua kila kitu. Hakuna kitu ambacho kinafichwa kutoka kwa maarifa yake.[2] 9. Hana udhaifu, mapungufu na kasoro yoyote. Yeye ni mkamilifu kabisa katika sifa …

Soma Zaidi »

Kupokea baraka kumi

Abu Huraira (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kuwa Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema, "Yoyote atakayetuma salaam juu yangu mara moja, Allah subhaana wata'alah atamwandikia fadhila kumi (katika kitabu chake cha matendo)."

Soma Zaidi »

Imani kuhusu Allah subhaanawata’ala

Imani kuhusu uwepo na sifa za Allah subhaana wata’ala 1. Allah subhaana wata’ala ndiye pekee anayestahiki kuabudiwa.[1] 2. Kabla ya uumbaji wa ulimwengu wote, kila kitu hakikuwepo, badala ya Allah subhaana wata’ala Kisha akaumba kila kitu kutoka hali ya kutokuwepo. Badala ya Allah subhaana wata’ala, hakuna mtu mwingine aliye na …

Soma Zaidi »

Salaam itapimwa kwa kiwango cha kipimo kikamilifu.

Abu Hurairah (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kuwa Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) anasema, "yule anayetaka salamu yake juu yangu ipimwe kwa kiwango kilicho pimwa kamili (na hivyo kupokea tuzo kamili kwa salaam) wakati akisoma salaam juu yetu, na ahlul bayt, basi anapaswa kusoma salaam ifuatayo:

Ewe Allah subhaanawata'ala! tuma salaamu kwa Nabii Muhammad (sallallahu ‘alaihi wasallam) Nabii asiye juwa kusoma, wake zake, mama wa waumini, kizazi chake na watu wa nyumba yake kama jinsi ulivyotuma salaamu kwa familia ya Ebrahim (alahis salaam), hakika wewe ndiye unastahili sifa, mwingi wa kupandisha.

Soma Zaidi »

Umuhimu Wa Kujiunga Ili Upate Usahihi Wa Aqiidah

Dini ya Uislamu pamoja na nguzo zake zote, hutegemea msingi wa imani na imani sahihi. ikiwa imani ya mtu sio sahihi, lakini haitamfanya atoke kwenye zizi la Uislamu, basi hata kama anaweza kujitahidi kutekeleza matendo ya uadilifu na ya haki, hatapokea ahadi zilizoahidiwa kama imani yake ambayo ni msingi wa …

Soma Zaidi »

Malaika sabini wanarikodi thawabu kwa siku elfu moja

Sayyidina ibn Abbaas (radhiyallahu ‘anhuma) anasimulia kwamba Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema, "Yoyote atakayenitumia salaam ifuatayo, (akajishughulisha na) akawachosha malaika sabini (katika kurikodi thawabu ya salaam iliyosomwa) kwa siku elfu moja."

Allah subhaana wata'ala amlipe Nabii Muhammad (sallallahu ‘alaihi wasallam) kwa niaba yetu kama anavyostahili (yaani: thawabu inayostahili nafasi yake tukufu).

Soma Zaidi »