Dua

Watu Ambao Dua Zao Zinakubaliwa

Wazazi, Wasafiri na Wenye Kudhulumiwa Abu Hurairah (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema: “Dua tatu ni kwamba bila shaka zitakubaliwa; Dua ya baba (au mama kwa mtoto wao), Dua ya musaafir (msafiri) na dua ya mwenye kudhulumiwa.”[1] Mwenye Kufunga Na Imaamu Muadilifu Imepokewa kutoka kwa Abu Hurairah …

Soma Zaidi »

Fadhila za Dua

Malaika Akimuombea Dua Anayemuombea Ndugu Yake Dua Abud Dardaa (radhiyallahu ‘anhu) anasema kwamba Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) alikuwa akisema: “Dua anayoifanya Muislamu kwa ajili ya ndugu yake wakati hayupo inakubaliwa. Kila anapoomba dua kwa ajili ya wema ya ndugu yake, kuna Malaika ambaye amechaguliwa kusimama kichwani kwake. Malaika huyo husema …

Soma Zaidi »

Fadhila za Dua

Anayefanya Dua Siku zote Anafaidi Abu Sa’eed Khudri (radhiyallahu ‘anhu) anasimulia kwamba Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema, “Muislamu yoyote akimuomba Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) na kumnyenyekea, na dua yake haina dhambi yoyote (yaani kuomba jambo lolote lisiloruhusiwa) au kukata mahusiano ya kifamilia, Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) atamjaalia moja katika mambo …

Soma Zaidi »

Fadhila za Dua

Silaha Ya Muumini Ali (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) amesema, “Dua ni silaha ya Muumini, nguzo ya Dini, na nuru ya mbingu na ardhi.”[1] Dua Ni Asili ya Ibaadah Anas (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema, “Dua ndio asili ya ibaadah.”[2] Allah Ta’ala Hufurahishwa …

Soma Zaidi »

Dua

Dua ni njia ambayo mja huchota kutoka katika hazina zisizo na mipaka za Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala). Kuna fadhila nyingi zilizoripotiwa ndani ya Hadith kwa wale wanao omba dua. Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) amesema kwamba dua ni asili ya ibaadah zote.[1]  Katika Hadith nyingine, Mtume (Sallallahu ‘alaihi wasallam) ametaja kuwa …

Soma Zaidi »