Katika tukio la hijra, wakati Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) alipoingia kwenye mji uliobarikiwa wa Madinah Munawwarah, watu wengi walikuwa wakimgojea kwa hamu. Miongoni mwao walikuwemo wale wanaompenda Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) -Ansaar wa Madinah Munawwarah – pamoja na Mayahudi na wale wanao abudu masanamu waliokuwa wakiishi katika mji huo. Rasulullah …
Soma Zaidi »Rizki Ipo Mikononi Wa Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) Peke Yake
Kila kiumbe anahitaji rizki kwa ajili ya kuendelea kwake na kuishi kwake, na rizki iko mikononi mwa Allah Ta’ala peke yake. Sifa, nguvu na akili sio msingi kuamua rizki ya mtu. Ni kweli jinsi maneno ya mshairi alikuwa akisema: ينال الفتى من عيشه وهو جاهل ويكدى الفتى في دهره وهو …
Soma Zaidi »Allah Ta’ala – Anaye Ruzuku Viumbe Vyote
Wakati mmoja, kipindi cha Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam), kundi la Maswahabah (radhiyallahu anhum) kutoka kabila la Banu Al-Ash’ar walisafiri kutoka Yemen hadi Madinah Munawwarah kwa ajili ya hijrah. Walipofika kwenye mji uliobarikiwa wa Madinah Munawwarah, walikuta kwamba chakula chao walichokuja nacho kilikuwa kimekwisha. Hivyo, waliamua kumtuma mmoja wa masahaba kwa …
Soma Zaidi »Mjadala kati ya Ibrahim (alaihis salaam) na Namrood
Namrood alikuwa mfalme dhalimu, dhalimu ambaye alikuwa amedai kuwa yeye ni mungu na akawaamuru watu kumwabudu. Ibrahim (alaihis salaam) alipokwenda kwa Namroud na kuumpa da’wah kumwaamini Allah Ta’ala, Namroud, kutokana na kiburi na ukaidi wake, hakukubali na akamuuliza Ibrahim (alaihis salaam) Mola wake anaweza kufanya nini. Ibrahim (alaihis salaam) akamwambia …
Soma Zaidi »Imaam Abu Hanifah (rahimahullah) na Maswali Matatu ya Mfalme wa Kirumi
Mfalme wa Warumi aliwahi kutuma kiasi kikubwa cha mali kwa Khalifa wa Waislamu. Kabla ya kuumpa Mwakilishi wake mali, Mfalme alimuamuru kuuliza maswali matatu kwa Maulamaa wa Waislamu. Mwakilishi wa Kirumi, kama alivyoagizwa, aliuliza yale maswali matatu kwa Maulamaa lakini hawakuweza kumpa majibu ya kuridhisha. Wakati huo, Imaam Abu Hanifa …
Soma Zaidi »Kumtambua Allah Ta’ala
Allah Ta’al Ndiye Muumba na Mlinzi wa kila kiumbe katika ulimwengu. Kila kitu katika ulimwengu, iwe ni galaksi, mfumo wa jua, nyota, sayari, au ardhi na kila kilichomo ndani yake, ni viumbe vya Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala). Yule anayetafakari juu ya ukubwa na uzuri wa viumbe hawa wote basi afikirie …
Soma Zaidi »