Sahaabah

Ujumbe wa Sa’d (radhiyallahu ‘anhu) kwa Waislamu

Wakati wa vita vya Uhud, Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) aliuliza, “Sa’d bin Rabee yuko wapi? Sijui hali yake.” Baada ya hapo, mmoja wa Maswahaba (radhiyallahu ‘anhum) alitumwa kumtafuta. Alikwenda hadi mahali ambapo miili ya mashahidi zilikuwepo. Alipaza sauti kwa jina la Sa’d (radhiyallahu ‘anhu) kuona kama yupo hai. Mahali fulani …

Soma Zaidi »

Mapenzi ya ‘Ali (Radhiya Allaahu ‘anhu) kwa Rasulullah (Sallallaahu ‘alaihi wasallam)

Usiku ule Rasulullah (Sallallaahu ‘alaihi wasallam) anatoka kwenda kuhijiria kwenda Madinah Munawwarah, makafiri walikuwa wameizunguka nyumba yake ili wamuue. Kabla ya kuondoka, Rasulullah (Sallallaahu ‘alaihi wasallam) alimuagiza ‘Ali (Radhiya Allaahu ‘anhu) kulala nyumbani kwake ili makafiri wafikirie kuwa Rasulullah (Sallallaahu ‘alaihi wasallam) bado yuko ndani na hawatatambua kuwa alikuwa ameondoka. …

Soma Zaidi »

Mapenzi ya Uthmaan (radhiyallahu ‘anhu) kwa Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam)

Katika tukiyo la Hudaybiyah, Uthmaan (radhiyallahu ‘anhu) alikuwa ameamrishwa na Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) kujadiliana na Maquraishi huko Makka Mukarramah. Wakati Uthmaan (radhiyallahu ‘anhu) alikuwa ameondoka kwenda Makka Mukarramah, baadhi ya Maswahaba walimwonea wivu Uthmaan (radhiyallahu ‘anhu) kwa kuweza kufanya tawaaf ya Nyumba ya Allah subhaana wata’ala Kwa upande mwingine, …

Soma Zaidi »

Mapenzi ya Umar (radhiyallahu ‘anhu) na Kumbukumbu za Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam)

Usiku mmoja, katika kipindi cha ukhalifa wake, Umar (radhiyallahu ‘anhu), alikuwa kwenye ulinzi wa usalama na aliona mwanga na kusikia sauti ikitoka katika nyumba fulani. Alimkuta bibi kizee ndani yake akisokota pamba na kuimba nyimbo zifuatazo: عَلَى مُحَمَّدٍ صَلَاةُ الْأَبْرَارْ ** صَلَّى عَلَيْكَ الْمُصْطَفَوْنَ الْأَخْيَارْ “Wacha Mungu waendelee kutuma salamu …

Soma Zaidi »

Mapenzi ya Abu Bakr Siddeeq (radhiyallahu ‘anhu) kwa Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam)

Nabii wa Allah (sallallahu alaihi wasallam) na Abu Bakr Siddeeq (radhiyallahu ‘anhu) wanaondoka kufanya hijrah usiku. Wakati wa safari, muda mwingine Abu Bakr Siddeeq alitembea mbele ya Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) na kuna muda mwingine akitembea nyuma yake. Kuna wakati fulani alitembea upande wa kulia wa Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) …

Soma Zaidi »

Mapenzi Kwa Maswahaabah

Ja’far As Saaigh (Rahimahullah) anasimulia tukio hili ifuatayo: Miongoni mwa majirani wa Imaam Ahmad bin Hanbal (Rahimahullah) alikuwa mtu ambaye alihusika katika madhambi mengi, maovu na vitendo visivyo na haya. Siku moja mtu huyu alikuja kwenye mkusanyiko wa Imaam Ahmad bin Hanbal (Rahimahullah) na akamsalimia kwa salaam. Ingawa Imaam Ahmad …

Soma Zaidi »