Sunna Na Adabu Za Adhaan

Maneno Ya Adhaan.

Kuna aina saba ya misemo katika adhaan. Misemo saba ni hizi zimetajwa hapa chini kwa utaratibu maaluum: 1. Kwanza toa Kwa sauti ya juu: اَللهُ أَكْبَرَ اللهُ أَكْبَرْ Mwenyezi Mungu ndiye mkubwa zaidi, Mwenyezi Mungu ndiye mkubwa zaidi. اَللهُ أَكْبَرَ اللهُ أَكْبَرْ Mwenyezi Mungu ndiye mkubwa zaidi, Mwenyezi Mungu ndiye …

Soma Zaidi »

Njia ya Sunna ya kuita adhana.

15. Ikiwa uko mahali nje ya mji ambapo hakuna mtu wakuswali pamoja naye, basi hata kama utaswali peke yako, bado unapaswa kutoa adhaan na iqaamah. Ukitoa adhaan na iqaamah na baada ya hapo ukaswali basi Malaika wataswali pamoja na wewe.[1] عن عقبة بن عامر رضي الله عنه قال سمعت رسول …

Soma Zaidi »

Njia ya Sunna ya kuita adhana

12. Usipotoshe maneno ya adhaan au kutoa adhaan kwa sauti ambayo maneno ya adhana hupotoshwa.[1] عن يحيى البكاء قال قال رجل لابن عمر رضي الله عنهما إني لأحبك في الله فقال ابن عمر رضي الله عنهما لكني أبغضك في الله قال ولم قال إنك تتغنى في أذانك وتأخذ عليه أجرا …

Soma Zaidi »

Njia ya Sunna ya kuita adhana.

8. Toa adhaan polepole na usimame baada ya kusema kila neno la adhaan.[1] عن جابر رضي الله عنه أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال لبلال إذا أذنت فترسل… (سنن الترمذي، الرقم: 195)[2] Sayyidina Jaabir (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alimuhutubia Bilaal (radhiyallahu ‘anhu) akisema, “unapotoa …

Soma Zaidi »

Njia ya Sunna ya kuita adhana.

4. Toa adhana kwa sauti ya juu.[1] عن عبد الله بن زيد رضي الله عنه قال … فأخبرته بما رأيت فقال إنها لرؤيا حق إن شاء الله فقم مع بلال فألق عليه ما رأيت فليؤذن به فإنه أندى صوتا منك (سنن أبي داود، الرقم: 499)[2] Sayyidina Abdullah bin Zaid (radhiyallahu …

Soma Zaidi »

Njia ya Sunna ya kuita adhana

1. Hakikisha kwamba nia yako ya kuita adhaan ni kumridhisha Allah subhaana wata’ala pekee yake. فعن ابن عباس رضي الله عنهما أن النبي صلى الله عليه وسلم قال من أذن سبع سنين محتسبا كتبت له براءة من النار (سنن الترمذي، الرقم: ٢٠٦)[1] Sayyidina Ibnu Abbas (radhiyallahu ‘anhuma) anaripoti kwamba Rasulullah …

Soma Zaidi »

Fadhila za Muaddhin

9. Ilikuwa ni matamanio ya sahaaba (radhiyallahu ‘anhum) kutoa adhana na walitamani watoto wao pia watoe adhana. Chini kuna baadhi ya hadithi zinazoonyesha shauku ya sahaaba (radhiyallahu ‘anhum) kutoa adhaan: Hamu ya Sayyidina Ali (radhiyallahu ‘anhu) kwa Sayyidina Hasan (radhiyallahu ‘anhu) na Sayyidina Husein (radhiyallahu ‘anhu) kutoa adhana: عن علي …

Soma Zaidi »

Fadhila za Muaddhin

6. Muadhin ameelezwa kwenye Hadithi kuwa amehesabiwa kuwa waja bora wa Allah subhaana wata’ala. فعن ابن أبي أوفى رضي الله عنه قال قال رسول الله صلى الله عليه وسلم إن خيار عباد الله الذين يراعون الشمس والقمر والنجوم والأظلة لذكر الله (المستدرك على الصحيحين للحاكم، الرقم: ١٦٣، وإسناده صحيح كما …

Soma Zaidi »

Fadhila za Muaddhin 2

4.kila kiumbe (kama jini, mwanadamu au kiumbe mwingine yoyote) ambaye husikia sauti ya muadhin akiadhini adhaan atashuhudia kwa niaba yake siku ya qiyaamah. فعن عبد الرحمن بن عبد الله بن عبد الرحمن بن أبي صعصعة الأنصاري ثم المازني عن أبيه أنه أخبره أن أبا سعيد الخدري رضي الله عنه قال …

Soma Zaidi »

Fadhila za Muaddhin

Adhaan ni miongoni mwa sifa muhimu za Deen za kiislaam. Uislamu umetoa heshima kubwa kwa wale wote ambao wanatoa adhaan, wakiita watu kuelekea kuswali. Siku ya qiyaamah, watu watawapongeza wale ambao walikuwa wakitoa adhaan ulimwenguni kwa sababu ya nafasi yao tukufu na hadhi ya juu aakhera. Hadithi nyingi zinataja fadhila …

Soma Zaidi »