Sunna na Adabu

Jalsah

1. Katika mkao wa jalsah, weka viganja vyako kwenye mapaja yako na vidole vyako karibu na magoti yako.[1] 2. Hakikisha vidole vyako vimeunganishwa.[2] 3. Macho yako yawe yanaangalia kwenye sehemu ya kusujudu ukiwa kwenye jalsah.[3] 4. Weka mguu wa kulia ukiwa umesimama kwa usawa huku vidole vyake vya miguu vikikandamizwa …

Soma Zaidi »

Sajdah

7. Mikono usishikamane na upande wa mwili.[1] 8. Macho yawe yanaangalia sehemu ya kusujudu.[2] 9. Acha nafasi kati ya tumbo na mapaja.[3] 10. Weka miguu yote miwili chini na vidole vya miguu vikielekea kibla. Acha nafasi sawa Sawa na mkono mmoja kati ya miguu yako kwenye sajdah.[4] 11. Soma tasbeeh …

Soma Zaidi »

Sajdah

1. Soma takbira na bila kuinua mikono yako, Kisha nenda kwenye sajdah.[1] 2. Weka mikono (viganja) kwenye magoti huku ukiendelea kwenda kwenye sajdah.[2] 3. Kwanza weka magoti chini, kisha mikono (viganja), na mwisho paji la uso na pua kwa pamoja.[3] 4. Weka mikono yako chini kwa njia ambayo vidole na …

Soma Zaidi »

Ruku na I’tidaal

6. Hakikisha kwamba mikono imewekwa mbali na mwili.[1] 7. Soma tasbeeh ifuatayo mara tatu au idadi yoyote isiyo na maganyiko:[2] سُبْحَانَ رَبِّيَ الْعَظِيْم Utukufu ni wa Mola wangu Mkubwa 8. Baada ya kusoma tasbihi, simama kutoka kwenye rukuu huku ukisema tasmee’:[3] سَمِعَ اللهُ لِمَنْ حَمِدَهْ Allah Ta’ala Humsikia mwenye kumsifu …

Soma Zaidi »

Ruku na I’tidaal

1. Ukimaliza kusoma Surah Faatihah na Qiraat, tulia kidogo na kisha inua mikono (kama ilivyoelezwa katika takbeeratul ihraam) huku akisema takbira na kuingia katika rukuu kwa pamoja.[1] Kumbuka: Takbira ya intiqaaliyyah (takbira inayosomwa wakati wa kuhama kutoka mkao mmoja hadi mwingine) inapaswa kuanza mara tu mtu anapoanza kuhamia mkao unaofuata …

Soma Zaidi »

Qiyaam

15. Ikiwa unaswali fardhi za rakaa tatu au nne, basi katika rakaa ya tatu na ya nne utasoma tu Surah Faatiha. Hupaswi kusoma surah yoyote baada ya kusoma Surah Faatihah. Kumbuka: Katika rakaa ya tatu na ya nne ya swala ya fardh, Surah Faatihah itasomwa na imaam, muqtadi na munfarid …

Soma Zaidi »

Qiyaam

11. Soma Ta’awwudh. Ta’awwudh ni kusoma: أَعُوْذُ بِاللهِ مِنَ الشَّيْطَانِ الرَّجِيْم Najikinga kwa Allah Ta’ala na shetani aliyelaaniwa.[1] Kumbuka: Dua-ul Istiftaah na Ta’awwudh itasomwa na munfarid (mwenye kuswali pekeyake) pamoja na imaam na muqtadi (anayemfuata imaam).[2] 12. Baada ya hapo somo la Surah Faatihah ikifuatiwa na surah au sehemu yoyote …

Soma Zaidi »

Qiyaam

7. Wakati wa kusoma takbeertul ihraam (takbeer ya kufunga swalaah), hakikisha kwamba macho yako yanaanhalia sehemu ya kusujudu na kichwa chako kinaelekea Chino kidogo.[1] 8. Ikunje mikono chini ya kifua na juu ya kitovu.[2] 9. Shika kifundo cha mkono wa kushoto na mkono wa kulia alafu weka vidole vya mkono …

Soma Zaidi »

Qiyaam

1. Unapokusudia kuswali, simama na uelekee kibla.[1] 2. Wakati wa kusimama kwa ajili ya Swalah, simameni kwa heshima kubwa. Elekeza miguu yote miwili kuelekea kibla na acha nafasi wa takriban mkono mmoja kati yake. Wakati wa kuswali katika jamaa, nyoosha safu na usimame karibu iwezekanavyo, bila kuacha nafasi kati yenu. …

Soma Zaidi »

Kabla Ya Swalaah

5. Kabla ya kuanza kuswali, hakikisha kwamba mavazi yako ni ya heshima na sio yakubana. Epuka kuvaa mavazi ambayo hayana heshima badala vaa mavazi ambayo yanazingatia na utakatifu wa Swalaah, na pia epuka na mavazi ambayo yana picha au maandishi juu yake.[1] 6. Hakikisha kwamba unaswali kwa kuvaa kofia (ya …

Soma Zaidi »