Sunna na Adabu

Kuitikia Adhaan

Adhaan ni miongoni mwa alama kuu za kiislamu. Wakati adhaan ina umuhimu mkubwa katika Dini, basi tunapaswa kuonyesha heshima kwa adhaan kwa kuijibu na kutojishughulisha pindi inapotolewa na mazungumzo yoyote ya kidunia. Fuqahaa wameandika kuwa ndivyo si sahihi kujihusisha na mazungumzo ya kidunia wakati wa adhana.[1] 1. Ukisikia adhaan, jibu …

Soma Zaidi »

Namna ya Kutoa Adhaan ya Alfajiri

Ikiwa mtu atatoa Adhaan ya Alfajiri, basi atatoa adhaan kwa namna ile ile iliyoelezwa. Tofauti pekee ni kwamba mtu atasoma maneno yafuatayo mara mbili baada ya kusema حَيَّ عَلٰى الْفَلَاحْ (Hayya ‘alal falaah):[1] اَلصَّلَاةُ خَيْرٌ مِّنَ النَّوْمْ Swalaah ni bora kuliko usingizi. عن محمد بن عبد الملك بن أبي محذورة …

Soma Zaidi »

Matamshi Sahihi ya Maneno ya Adhaan

Wakati wa kutoa adhaan, mtu ajitahidi kutamka maneno kwa usahihi. Katika suala hili, baadhi ya nukta muhimu kuzikumbuka ni: 1. Wakati wa kusema اَللهُ أَكْبَرَ اللهُ أَكْبَرْ ,herufu ر (Raa) katika أَكْبَرْ (Akbar) ya kwanza itasemwa na fat-hah (ــَـ) (kwa kuiunganisha na neno اللهُ (Allahu). 2. Pindi unapo sema أَشْهَدُ …

Soma Zaidi »

Maneno Ya Adhaan.

Kuna aina saba ya misemo katika adhaan. Misemo saba ni hizi zimetajwa hapa chini kwa utaratibu maaluum: 1. Kwanza toa Kwa sauti ya juu: اَللهُ أَكْبَرَ اللهُ أَكْبَرْ Mwenyezi Mungu ndiye mkubwa zaidi, Mwenyezi Mungu ndiye mkubwa zaidi. اَللهُ أَكْبَرَ اللهُ أَكْبَرْ Mwenyezi Mungu ndiye mkubwa zaidi, Mwenyezi Mungu ndiye …

Soma Zaidi »

Njia ya Sunna ya kuita adhana.

15. Ikiwa uko mahali nje ya mji ambapo hakuna mtu wakuswali pamoja naye, basi hata kama utaswali peke yako, bado unapaswa kutoa adhaan na iqaamah. Ukitoa adhaan na iqaamah na baada ya hapo ukaswali basi Malaika wataswali pamoja na wewe.[1] عن عقبة بن عامر رضي الله عنه قال سمعت رسول …

Soma Zaidi »

Njia ya Sunna ya kuita adhana

12. Usipotoshe maneno ya adhaan au kutoa adhaan kwa sauti ambayo maneno ya adhana hupotoshwa.[1] عن يحيى البكاء قال قال رجل لابن عمر رضي الله عنهما إني لأحبك في الله فقال ابن عمر رضي الله عنهما لكني أبغضك في الله قال ولم قال إنك تتغنى في أذانك وتأخذ عليه أجرا …

Soma Zaidi »

Njia ya Sunna ya kuita adhana.

8. Toa adhaan polepole na usimame baada ya kusema kila neno la adhaan.[1] عن جابر رضي الله عنه أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال لبلال إذا أذنت فترسل… (سنن الترمذي، الرقم: 195)[2] Sayyidina Jaabir (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alimuhutubia Bilaal (radhiyallahu ‘anhu) akisema, “unapotoa …

Soma Zaidi »

Njia ya Sunna ya kuita adhana.

4. Toa adhana kwa sauti ya juu.[1] عن عبد الله بن زيد رضي الله عنه قال … فأخبرته بما رأيت فقال إنها لرؤيا حق إن شاء الله فقم مع بلال فألق عليه ما رأيت فليؤذن به فإنه أندى صوتا منك (سنن أبي داود، الرقم: 499)[2] Sayyidina Abdullah bin Zaid (radhiyallahu …

Soma Zaidi »

Njia ya Sunna ya kuita adhana

1. Hakikisha kwamba nia yako ya kuita adhaan ni kumridhisha Allah subhaana wata’ala pekee yake. فعن ابن عباس رضي الله عنهما أن النبي صلى الله عليه وسلم قال من أذن سبع سنين محتسبا كتبت له براءة من النار (سنن الترمذي، الرقم: ٢٠٦)[1] Sayyidina Ibnu Abbas (radhiyallahu ‘anhuma) anaripoti kwamba Rasulullah …

Soma Zaidi »

Fadhila za Muaddhin

9. Ilikuwa ni matamanio ya sahaaba (radhiyallahu ‘anhum) kutoa adhana na walitamani watoto wao pia watoe adhana. Chini kuna baadhi ya hadithi zinazoonyesha shauku ya sahaaba (radhiyallahu ‘anhum) kutoa adhaan: Hamu ya Sayyidina Ali (radhiyallahu ‘anhu) kwa Sayyidina Hasan (radhiyallahu ‘anhu) na Sayyidina Husein (radhiyallahu ‘anhu) kutoa adhana: عن علي …

Soma Zaidi »