5. Meno yanapobadilika rangi au harufu mbaya hutoka mdomoni.
Imeripotiwa kutoka kwa Sayyidina ja'far (radhiallahu anhu) Kwamba wakati mmoja, sayyidina Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) alihutubia watu fulani akisema, "kuna nini mpaka nyie mnakuja kwangu katika hali ambayo naona meno yenu kuwa ni ya njano? Na Nimewashauri kusafisha meno yenu na miswaak." Sayyidina Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) kisha akasema, "kama isingekuwa hofu ya umma wangu kupata shida, hakika ningewaamuru (na kuilazimisha) watumie miswaak wakati wa kila salaa (hata hivyo, kutumia miswaak sio lazima lakini ni sunnah iliyosisitizwa wakati wa wudhu)".
Soma Zaidi »