Umar (Radhiya Allaahu ‘anhu) aliwahi kusimulia tukio lifuatalo: Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) alikuwa akiongea na Abu Bakr (Radhiya Allaahu ‘anhu) baada ya Esha na kujadiliana naye mambo ya Waislamu. Usiku mmoja, baada ya Esha, Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) alizungumza na Abu Bakr (Radhiya Allaahu ‘anhu) (kuhusu mambo ya Waislamu) na …
Soma Zaidi »Monthly Archives: January 2026
Sunna na Aadaab Za Kulala 5
16. Ni mustahab kufanya qailoolah (kulala mchana kidogo), kwa sababu hii itakusaidia kuamka Tahajjud. Ibnu Abbaas (Radhiyallahu anhuma) anaripoti kwamba Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) alisema, “Jisaidieni na saumu mchana kwa kula daku, na jisaidieni na kusimama tahajjud usiku kwa kulala mchana (qailoola).” 17. Hakikisha kwamba unaswali, unajishughulisha na dhikr au …
Soma Zaidi »Abu Dhar (Radhiya Allaahu ‘anhu) Akimshauri Amiri La Jeshi Kusimamia Uadilifu.
Imam Bayhaqi (rahimahullah) anasimulia: Wakati Yazid bin Abi Sufyan (Radhiya Allaahu ‘anhu) alipokuwa waziri wa Shaam, Waislamu walijishughulisha na Jihaad na kupata ushindi, na hivyo kuwa na ngawira. Miongoni mwa ngawira za vita alikuwemo mtumwa mrembo aliyejikuta kwenye milki ya mwanajeshi mmoja wa Kiislamu. Muda mfupi baada ya yule mwanajeshi …
Soma Zaidi »Sunna na Aadaab Za Kulala 4
14. Ukiona ndoto nzuri, basi sema Alhamdulillah. Unaweza kumsimulia mtu ambaye ana ujuzi katika tabiri za ndoto au kwa mtu ambaye ni mkutakia mema. Imepokewa kutoka kwa Abu Sa’eed Khudri (Radhiyallahu anhu) kwamba Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) amesema: “Mmoja wenu akiona ndoto nzuri inayomfurahisha, basi ahesabu hiyo ndoto kuwa ni …
Soma Zaidi »
Alislaam Juhudi za Kuleta uislam ndani ya maisha yetu