Sunna na Adabu

Sunnah na Adabu Za Kuwatembelea Wagonjwa 2

4. Unapowatembelea wagonjwa, soma dua ifuatayo: لَا بَأْسَ طَهُوْرٌ إِنْ شَاءَ اللهُ Hakuna haja ya kuwa na wasiwasi, kupitia maradhi haya, utatakasika inshaAllah.[1] Unaweza pia kusoma dua ifuatayo mara saba: أَسْألُ اللهَ الْعَظِيْمَ رَبَّ الْعَرْشِ الْعَظِيْمِ أَنْ يَّشْفِيَكَ Ninamuomba Allah Ta’ala, Mola wa Arshi kubwa, akuponye. Imepokewa kutoka kwa Ibnu …

Soma Zaidi »

Sunnah na Adabu Za Kuwatembelea Wagonjwa 1

1. Ni mustahabu kufanya wudhu kabla ya kumtembelea mgonjwa.[1] Anas (radhiyallahu ‘anhu) anasema kwamba Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema, “Mwenye kufanya wudhu kamili (yaani kwa kutimiza sunnah na vitendo vya mustahab vya wudhu) na akafunga safari kwenda kumtembelea ndugu yake Mwislamu mgonjwa kwa matumaini ya kupata thawabu za kumtembelea mgonjwa, …

Soma Zaidi »

Fadhila Za Kuwatembelea Wagonjwa 2

Kuepushwa Mbali Na Moto Wa Jahannam Sawa Sawa Na Urefu wa Miaka Sabini Anas (radhiyallahu ‘anhu) anasema kwamba Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema, “Mwenye kufanya wudhu kamili (yaani. kwa kutimiza sunnah na vitendo vya mustahab vya wudhu) na akafunga safari kwenda kumtembelea ndugu yake Mwislamu mgonjwa kwa matumaini ya kupata …

Soma Zaidi »

Fadhila Za Kuwatembelea Wagonjwa 1

Kupata Dua Ya Malaika Elfu Sabini Imepokewa kutoka kwa Ali (radhiyallahu ‘anhu) kwamba Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) amesema: “Mwenye kumtembelea mgonjwa asubuhi, Malaika elfu sabini humuombea rahma kwa Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) mpaka jioni, na anayemtembelea mgonjwa jioni, Malaika elfu sabini humwomba rahma kwa Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) mpaka asubuhi, …

Soma Zaidi »

Kuwatembelea Wagonjwa

Dini ya Uislamu inatetea na kuamrisha mtu kutimiza haki anazo daiwa na Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) na haki anazo daiwa na waja wa Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala). Kuhusu haki anazodaiwa na waja wa Allah Ta’ala, hizi zinaweza kugawanywa katika aina mbili za haki. Aina ya kwanza ni zile haki ambazo …

Soma Zaidi »

Sunna Na Adabu Za Dua 9

21.Usiwe na haraka na kutokuwa na subra kwa ajili ya kukubaliwa na kutimizwa dua yako. Anas (radhiyallahu ‘anhu) anasema kwamba Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) amesema: “Mja ataendelea kuwa katika hali ya wema maadamu yuko (ameridhishwa na amri ya Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) na hana haraka. MaSwahaabah wakauliza, “Ewe Rasulullah (sallallahu …

Soma Zaidi »

Sunna Na Adabu Za Dua 8

19. Jiepushe na ulaji wa haramu au chakula chenye mashaka na kujihusisha na madhambi. Mtu kula haramu na kujihusisha na madhambi inazuia dua kujibiwa. Imepokewa kutoka kwa Abu Huraira (radhiyallahu ‘anhu) kwamba Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) amesema: “Enyi watu, hakika Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) ni Msafi na anakubali kilicho safi. …

Soma Zaidi »

Sunna Na Adabu Za Dua 7

17. Ni bora kuomba dua pana. Aaishah (radhiyallahu ‘anha) anaripoti kwamba Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) alikuwa akipendelea dua hizo ambazo ni pana na alikuwa akiacha dua zingine. Dua hizi zifuatayo ni miongoni mwa dua za Masnoon ambazo zimepokelewa katika Hadith: رَبَّنَا آتِنَا فِي الدُّنْيَا حَسَنَةً وَفِي الْآخِرَةِ حَسَنَةً وَقِنَا عَذَابَ …

Soma Zaidi »

Sunna Na Adabu Za Dua 6

15. Usiombe dua kwa jambo lolote lisiloruhusiwa au kwa chochote kisichowezekana (kama mtu kuomba kuwa Nabi). Imepokewa kutoka kwa Abu Hurairah (radhiyallahu ‘anhu) kwamba Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) amesema: “Dua ya mtu itakubaliwa daima maadamu haombi kitu cha dhambi au kukata mahusiano ya kifamilia, na maadamu hana haraka (katika dua …

Soma Zaidi »

Sunna Na Adabu Za Dua 5

12. Baada ya kumaliza dua yako, sema aameen. Abu Musabbih Al-Maqraaiy anasimulia: Wakati mmoja, tulikuwa tumekaa na Abu Zuhair An-Numairi ambaye alikuwa miongoni mwa maswahaabah (radhiyallahu anhum). Alikuwa mfasaha zaidi katika lugha. Wakati mtu yoyote miongoni mwetu alikuwa akishiriki katika dua, alikuwa akisema: “ufunge dua hiyo kwa Aamin, kwa sababu …

Soma Zaidi »