Sunna na Aadaab za kunywa 2

6. Wakati wa kunywa, mshukuru Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala) kwa kinywaji ambacho amekupa kwa kusema “alhamdulillah”. Anas (Radhiyallahu anhu) anaripoti kwamba Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) amesema, “Hakika Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala) anafurahishwa na yule anayekula chakula, au anakunywa maji, na kumsifu Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala).” 7. Usinywe kutoka upande uliovunjika …

Soma Zaidi »

Olemekezeka Abu Zar (Radhwiyallahu ‘anhu) Kulemekeza Alendo

‘Isa bin ‘Umailah (Rahimahullah) akufotokoza za munthu wina amene adawona khalidwe la Abu Zar (Radhwiyallahu ‘anhu) kwa anansi ake ndi alendo. Akunena kuti: “Nthawi iliyonse Abu Zar radhwiyallahu anhu akamakama mkaka wa mbuzi zake, poyamba ankagaira mkakawu anthu oyandikana nawo nyunba ndi alendo ake kuti ayambe amwa iwowo kenako ankamwa …

Soma Zaidi »

Kuwatakia Wema Wengine

Katika mfumo mzima wa thamani ya Uislamu, kila thamani ambayo Uislamu unayo umejaa na kivutio na huangaza uzuri. Iwe ni kuonyesha heshima kwa wazee, au huruma kwa vijana, au Kutimiza haki za wazazi na watoto – zote zinaonyesha utukufu wa kipekee wa Uislamu. Lakini, roho ya sifa hizi zote za …

Soma Zaidi »

Abu Dhar (Radhiyallahu ‘Anhu) Akisilimu

Hali Kabla ya Kukubali Uislamu: Kabla ya kukubali Uislamu, Abu dhar (Radhiyallahu ‘Anhu) alikuwa mwiza wa barabarani. Alikuwa jasiri kwamba bila msaada ya wezi wengine alikuwa nauwezo wa kuiba mizigo ya wapitanjia mwenyewe. Wakati mwingine, alikuwa akiwashambulia watu akiwa amepanda farasi, na wakati mwingine alikuwa akiwashambulia kwa miguu. (Siyar a’elaam …

Soma Zaidi »

Sunna na Aadaab za kunywa 1

1. Kabla ya kunywa, taja jina la Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala) kwa kusema : بِسْمِ اللهِ Kwa jina la Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala) 2. Kunywa na mkono wa kulia. Ibnu Umar (Radhiyallahu anhuma) anaripoti kwamba Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) alisema, “Wakati yoyote kati yenu anakula basi anapaswa kula na mkono …

Soma Zaidi »

Mteremko Katika Ummah Kabla Dajjaal Kufika

Imetajwa katika Hadith kwamba kabla ya Qiyaamah, lengo la msingi la watu litakuwa kukusanya mali na fedha. Watu wataona utajiri kama ufunguo wa anasa zote na faraja, mlango wa kila aina ya burudani, na chombo cha kutimiza raha zao za kidunia na tamaa za kidunia. Kwa hivyo, watatoa kila kitu …

Soma Zaidi »

Bilaal (Radhiyallahu ‘Anhu) Akirudi Kutoka Madinah Munawwarah

‘Allaamah Zurqaani (Rahimahullah) amenukuu tukio lifuatalo Kutoka kwa Haafidh Ibn ‘Asaakir (Rahimahullah) na sanad ya nguvu ya wasimulizi: Baada ya Rasulullah (Sallallahu Alaihi Wasaalm) kufariki, ilikuwa ngumu kwa Bilaal (Radhiyallahu ‘Anhu) kuendelea kuishi Madinah Munawwarah kutokana na upendo wake mkubwa kwa Rasulullah (Sallallahu’ Alaihi wasallam) katika mji uliobarikiwa. Kwa hivyo, …

Soma Zaidi »

Sunna na Adabu Za Kunywa 1

Kuna sunna nyingi na adabu kuhusu kunywa. Baadhi ya Sunna na adabu zinazohusika na dua kadhaa ambazo zimefundishwa kusomwa kabla, wakati na baada ya kunywa. Sunna zingine na adabu zinahusiana na jinsi mtu anapaswa kunywa. Mbali na hayo, kuna Sunna na adabu ambazo humfundisha mtu kiasi ambacho anapaswa kunywa wakati …

Soma Zaidi »

Dua ya Bilaal (Radhiyallahu ‘Anhu) kwa MaQuraish Wapate Mwongozo

‘Urwah bin Zubair (Rahimahullah) anasimulia kwamba mwanamke wa ukoo wa Banu Najjaar (yaani. Nawwaar bint Maalik, mama wa Zaid bin Thaabit (Radhiyallahu’ Anhuma) alisema, “Nyumba yangu iliwekwa huko Mahali ya juu na ilikuwa moja ya nyumba za juu karibu na Msikit (yaani. Masjidun Nabawi). “Bilaal (Radhiyallahu ‘Anhu) alikuwa akitoa Adhaan …

Soma Zaidi »

Dua Baada Ya Kula 2

Dua ya sita

Sifa zote ni za Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata'ala), ambaye analisha na yeye halishwi. Alitupa neema zake kisha akatuelekeza kwenye njia sahihi, na akatupa chakula na vinywaji, na kila neema nzuri - alitupendelea nayo. Sifa zote ni za Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata'ala), ambaye alitupa (sisi) chakula, akatupa (sisi) vinywaji, akatuvisha (sisi) kutoka katika hali ya kuwa uchi, ambaye alituelekeza (sisi) na kutuondoa (sisi) kutoka upotovu, alitupa macho na kutuondoa (sisi) katika hali ya upofu na akatupendelea (sisi) zaidi ya viumbe vyake zingine. Sifa zote ni za Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata'ala), Mola wa ulimwengu.

Soma Zaidi »