عن أنس بن مالك قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: من صلى علي في يوم الجمعة ألف مرة لم يمت حتى يرى مقعده من الجنة (أخرجه ابن شاهين بسند ضعيف كذا في القول البديع صـ ٣٩٧)
Sayyidina Anas (radhiyallahu anhu) ameripoti kwamba Nabii wa Allah (sallallahu alaih wasallam) amesema, “anaye soma salaamu kwangu mara elfu moja kwa siku ya ijumaa hata kufa mpaka aonyeshwe nafasi yake katika peponi.”
Mwanga Wa Salaamu Kwa Nabii Wa Allah (sallallahu alaih wasallam)
Shekhe Abul Qaasim Marwazi (rahimahullah) amesimulia:
Baba yangu na mimi tulikuwa tunasoma hadith usiku. Imeonwa katika ndoto kwamba kwenye mahali ambayo tumekaa, kuna mwanga unaong’a ambao umeonekana mpaka mbiguni. Kisha mtu aliuliza huu mwanga unaong’a ni nini. Alielezwa kwamba huu ulikuwa mwanga wa salaamu kwa Nabii wa Allah (sallallahu alaih wasallam) ambao wale wasomi wa wili walikuwa wanasoma wakati wako wanajinfunza hadith. (Al-Qawlul Badee, Pg,391)