1. Baada ya kuamka.
Sayyidatuna Aaisha (radhiyallahu ‘anha) anaripoti, "wakati wowote Nabii (sallallahu alaihi wasallam) aliamka kutoka usingizini, ida uwe usiku au mchana, alikuwa anafanya miswaak kabla ya kufanya wudhu."
Soma Zaidi »1. Baada ya kuamka.
Sayyidatuna Aaisha (radhiyallahu ‘anha) anaripoti, "wakati wowote Nabii (sallallahu alaihi wasallam) aliamka kutoka usingizini, ida uwe usiku au mchana, alikuwa anafanya miswaak kabla ya kufanya wudhu."
Soma Zaidi »7. Allah subhaana wata’ala hazuiliwi kwa nafasi au wakati. Badala yake, yeye ndiye muundaji wa nafasi na wakati.[1] 8. Allah subhaana wata’ala ni Mwenye nguvu na Anajua kila kitu. Hakuna kitu ambacho kinafichwa kutoka kwa maarifa yake.[2] 9. Hana udhaifu, mapungufu na kasoro yoyote. Yeye ni mkamilifu kabisa katika sifa …
Soma Zaidi »Abu Huraira (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kuwa Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema, "Yoyote atakayetuma salaam juu yangu mara moja, Allah subhaana wata'alah atamwandikia fadhila kumi (katika kitabu chake cha matendo)."
Soma Zaidi »