9. Soma ta’awwudh (a’uudhu billah) unapoanza kusoma Quran Takatifu. فَإِذَا قَرَأْتَ الْقُرْآنَ فَاسْتَعِذْ بِاللَّهِ مِنَ الشَّيْطَانِ الرَّجِيمِ ﴿٩٨﴾ Unapokusudia kusoma Quran, basi jikinge kwa Mwenyezi Mungu na Shetani, aliyekataliwa.[1] 10. Unapaswa kusoma Qur’an Takatifu wakati moyo wako uko makini kwenye kusoma. Ikiwa unahisi uchovu na unaona kuwa uzingatio wako umeathiriwa, basi …
Soma Zaidi »Sunnah na Adabu Za Kusoma Qur’an Takatifu 2
6. Inajuzu kusoma Quran Takatifu kwenye simu bila wudhu. Lakini, mtu apaswi kuweka mkono wake au kidole chake kwenye sehemu hiyo ya skrini ambapo aya za Qur’an zinaonekana.[1] Maelezo: Ikumbukwe kwamba ingawa kusoma Qur’an kutumia simu inaruhusiwa, kusoma Qur’an kwa njia ya asili ni bora zaidi kwa sababu ndio njia …
Soma Zaidi »Sunnah na Adabu Za Kusoma Qur’an Takatifu
1. Hakikisha mdomo wako ni safi kabla ya kusoma Qur’an Takatifu.[1] Imepokewa kwamba Ali (radhiyallahu ‘anhu) alisema, “Hakika midomo yenu ni njia za Qur’an Majeed (yaani midomo yenu inatumiwa kusoma Qur’an). Kwa hivyo, osheni vinywa vyenu kwa kutumia miswaak.”[2] 2. Shikilia Quran Takatifu kwa heshima kubwa na kila wakati uiweke …
Soma Zaidi »Fadhila Za Kusoma Quran Takatifu 2
Allah Ta’ala Anamsikiliza Mwenye Kusoma kwa Furaha Nyingi Imepokewa kutoka kwa Abu Hurairah (radhiyallahu ‘anhu) kwamba Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) amesema: “Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) hasikilizi chochote (kwa furaha nyingi) kama vile Akimsikiliza Nabii yoyote kwa sauti nzuri yenye kupendeza akisoma Qur’an Takatifu kwa sauti.”[1] Dua Zikijibiwa Katika Kuhitimu Quran …
Soma Zaidi »Fadhila Za Kusoma Quran Takatifu
Nuru Duniani na Hazina ya Akhera Abu dharr (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti, “Wakati fulani nilimuuliza Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam), ‘Ewe Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam), tafadhali naomba unipe nasaha. Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) akasema, ‘Shikilia na Taqwa kwa uthabiti, kwa sababu ni kichwa cha matendo yote’ (yaani kitendo kikubwa ilio juu kuliko …
Soma Zaidi »Ulinzi Ndani Ya Kaburi
Zaidi ya hayo, imeripotiwa kwamba mtu ambaye ameshikamana na Qur-aan Tukufu anapofariki, kabla ya kuzikwa, wakati familia yake bado inashughulika na ibada ya mazishi yake, Qur-aan Tukufu humjia ikiwa na sura nzuri na kusimama kwenye upande wa kichwa chake, kumlinda na kumfariji mpaka avikwe na sanda. Kisha Quraan Tukufu itaingia …
Soma Zaidi »Usiku Ukisubiri Muda Maalum Wa Kisomo
Katika riwaya moja, imepokewa kwamba kila mtu aliyejifunza Qur-aan Takatifu (au kipande chake) anaposimama katika Swalaah kwa Muda mchache usiku, ili asome Qur-aan, basi usiku huo unaujulisha usiku unaofuata juu ya nyakati hizi maalum ambazo ulikuwa umeufurahiya. Usiku unaushawishi usiku unaofuata kungojea kwa hamu nyakati hizo maalum ambapo utasimama kusoma …
Soma Zaidi »Kusoma Quraan Takatifu
Allah Ta’ala amebariki Umma wa Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam) na bahari isiyo na mwisho. Bahari hii imejaa na lulu, zumaridi, na marijani (Aina tofauti za majiwe ya thamani). Kwa kadri mtu atakavyochota kutoka kwenye bahari hii, ndivyo mtu atafaidika zaidi. Bahari hii haitoisha kamwe bali itaendelea kubariki mtu katika dunia …
Soma Zaidi »