Na waliotangulia (katika Dini) katika wa Muhajirina na wa Answaar na waliowafuata kwa wema, Allah Ta'ala ameridhika nao na wao wameridhika naye, na amewaandalia mabustani ambayo mito yanapita kati yake, watakaa humo milele. Huko ndiko kufaulu kukubwa. (Sura Taubah: 100)
Soma Zaidi »Mapenzi Kwa Maswahaabah
Ja’far As Saaigh (Rahimahullah) anasimulia tukio hili ifuatayo: Miongoni mwa majirani wa Imaam Ahmad bin Hanbal (Rahimahullah) alikuwa mtu ambaye alihusika katika madhambi mengi, maovu na vitendo visivyo na haya. Siku moja mtu huyu alikuja kwenye mkusanyiko wa Imaam Ahmad bin Hanbal (Rahimahullah) na akamsalimia kwa salaam. Ingawa Imaam Ahmad …
Soma Zaidi »