عن حسين بن علي رضي الله عنهما قال قال رسول الله صلى الله عليه وسلم من ذكرت عنده فخطىء الصلاة علي خطىء طريق الجنة (المعجم الكبير للطبراني، الرقم: 2887، وقال المناوي في فيض القدير (2/232) تحت حديث من نسي الصلاة علي خطئ طريق الجنة: لكن انتصر له ابن الملقن فقال: …
Soma Zaidi »Sifa za Muadhini
1. Muadhin anatakiwa awe mwanamume.[1] عن ابن عمر رضي الله عنهما قال ليس على النساء أذان ولا إقامة (السنن الكبرى للبيهقي، الرقم: 1996)[2] Imepokelewa kwamba Sayyidina Ibnu Umar (radhiyallahu ‘anhu) amesema, “kutowa adhana na iqaamah si jukumu la mwanamke. 2. Awe na akili timamu.[3] 3. Awe na umri wa kuelewa. …
Soma Zaidi »Dalili ya kuwa na tabia mbaya na kutokuwa na shukrani.
Sayyidina Qataadah (rahimahullah) anaripoti kwamba Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) amesema, "ni dalili ya mtu kuwa na tabia mbaya (na kukosa shukurani) kwamba jina langu linatajwa mbele yake, lakini anapuuzia kunitumia salamu."
Soma Zaidi »Bahili wa kweli
Sayyidina Husain (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema, "bakhili wa kweli ni yule ambaye jina langu linatajwa mbele yake, lakini hanitumii salamu."
Kushindwa kuandika salamu juu ya Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam)
Sayyidina Hasan bin Moosa Al-Had rami (rahimahullah) , ambaye anajulikana sana kama Ibnu Ujainah (rahimahullah) anaeleza:
Soma Zaidi »Malaika wakimiminika kwenye mikusanyiko ya Dhikr
عن عقبة بن عامر رضي الله عنه قال : قال رسول الله صلى الله عليه وسلم : إن للمساجد أوتادا جلساؤهم الملائكة إن غابوا فقدوهم وإن مرضوا عادوهم وإن رأوهم رحبوا بهم وإن طلبوا حاجة أعانوهم فإذا جلسوا حفت بهم الملائكة من لدن أقدامهم إلى عنان السماء بأيديهم قراطيس الفضة …
Soma Zaidi »Watu katika mikusanyiko ya salaam wanafunikwa na rehema za Allah subhaana wata’ala
Anas (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kuwa Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema, "kuna kundi la malaika wa Allah subhaana wata'ala ambao wanaendelea kuzunguka kote ulimwenguni, wakitafuta mikusanyiko ya dhikr (mikusanyiko ya kumkumbuka Allah subhaanawata'ala). Wanapopata mkusanyiko kama huo, wanakusanyika karibu nao, na baada ya hapo wanatuma wamalaaika wambele miongoni mwao mbinguni (kuripoti kwa Allah subhaana wata'ala). malaika hawa wanamwambia Allah subhaana wata'ala, "Ewe Mola wetu tulifika kwenye kundi la waja wako ambao wanachukulia neema zako kama neema kubwa juu yao, wanasoma kitaabu chako, wanatuma salaam kwa Nabii wako (sallallahu ‘alaihi wasallam) na wanakuomba kwa mahitaji yao yanayohusiana na aakhera na dunia." Allah subhaana wata'ala Atajibu "wazungushie kwa rehema zangu." Malaika kisha huwasilisha, "ewe Mola! kati yao kuna flani na flani ambae ametenda madhambi mengi, na amefika tu mwisho wa mkusanyiko. Allah subhaana wata'ala atasema, "wafunike watu wote wa mkusanyiko huo (pamoja na yeye) kwa rehema zangu, kwa sababu watu katika mkusanyiko huu ni kama kwamba hakuna mtu yoyote anayejiunga nao atakuwa na bahati mbaya ya kunyimwa rehema zangu."
Soma Zaidi »Salaam Ya Umma Kumfikia Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam)
عن أبي هريرة قال قال رسول الله صلى الله عليه وسلم لا تجعلوا بيوتكم قبورا ولا تجعلوا قبري عيدا وصلوا علي فإن صلاتكم تبلغني حيث كنتم (سنن أبي داود، الرقم: 2042، وإسناده جيد كما في البدر المنير 5/290) Abu Hurairah (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kuwa Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema, “Msiifanye …
Soma Zaidi »Salaah na salaam kufikishwa kwa Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) kupitia Malaika
Sayyidina Ibin Abbas (radhiyallahu ‘anhuma) mara moja aliwahi kutaja yafuatayo, "hakuna mtu kutoka kwa umma wa Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) ambaye hutuma salaah na salaam juu ya Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) isipokuwa kwamba anafikishiwa kwake (kupitia malaika) na anaambiwa, "fulani na fulani amekuswalia ,na fulani na fulani ametuma salaam juu yako.
Soma Zaidi »Malaika ambaye amesimama kwenye kaburi la baraka la Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) kufikisha salaam za ummah
عن عمار بن ياسر رضي الله عنه قال قال رسول الله صلى الله عليه و سلم إن الله وكل بقبري ملكا أعطاه الله أسماء الخلائق وفي رواية أسماع الخلائق فلا يصلي علي أحد إلى يوم القيامة إلا أبلغني باسمه واسم أبيه هذا فلان بن فلان قد صلى عليك – (رواه …
Soma Zaidi »Imani kumhusu Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam)
1. Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) Ni Nabii wa mwisho na muhuri wa utume wote. Baada yake, hakuna Nabii mpya atakayetumwa ulimwenguni kuongoza taifa lolote. Ikiwa mtu yoyote anaamini kwamba kuna mjumbe mpya atakayekuja baada ya Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam), atakuwa kafiri na atatoka kwenye Uislamu. 2. Deen ya kiislaam ambaye …
Soma Zaidi »