Wakati Sa’eed bin Zaid (Radhiyallahu ‘Anhu) alipofariki, sa’d bin abi Waqqaas (Radhiyallahu’ Anhu) na Abdullah bin Umar (Radhiyallahu ‘Anhuma) walikuwa miongoni ya watu waliompa Ghusal. Baada ya Janazah kubebwa na watu kutoka Aqeeq kwenda Madinah Munawwarah kuzikwa huko Baqi ‘, kaburi la Madinah Munawwarah. Pindi Janaazah ilipopita nyumba ya Sa’d …
Soma Zaidi »Yearly Archives: 2025
Sunna na Adabu za kabla ya kula 4
8. Wakati wa kula, mtu hapaswi kukaa kimya kabisa. Lakini, mtu hapaswi kuongelea mambo ambayo yatasababisha wengine kukereheshwa, kupta kichefuchefu au kupoteza hamu ya kula (k.m. kuongea kuhusu mtu kufa, kuumwa nk). 9. Ikiwa unakula na wengine na chakula ni kidogo, basi uwe mstaraabu na uhakikishe kuwa wengine pia wanaweza …
Soma Zaidi »Fikra ya Sa’eed bin Zaid (Radhiyallahu ‘Anhu) kumchagua Khalifah
Umar (Radhiyallahu ‘Anhu) aliwahi kukaa na mtoto wake, Abdullah bin Umar, binamu yake, Saeed bin Zaid na Abbaas (Radhiyallahu’ Anhum). Umar (Radhiyallahu ‘Anhu) aliwaambia, “Nimeamua kwamba sitamchaguwa mtu yoyote maalum kama Khalifah baada yangu.” Sa’eed bin Zaid (Radhiyallahu ‘Anhu), akiwa na wasiwasi juu ya ustawi wa Waislamu na jambo la …
Soma Zaidi »Sunna na Adabu za kabla ya kula 3
4. Wakati wa kula, Mtukuze Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala) kwa kusema “alhamdulillah”. Anas (Radhiyallahu anhu) anaripoti kwamba Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) alisema, “Hakika Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala) anafurahishwa na yule anayekula chakula, au anayekunywa maji, na humsifu Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala) kwa kusema” alhamdulillah “. 5. Kula na vidole vitatu …
Soma Zaidi »Nafasi ya hali ya juu ya Sa’eed bin Zaid (Radhiyallahu ‘Anhu) Mbele ya Abdullah bin Umar (Radhiyallahu ‘Anhuma)
Katika tukio moja, wakati Abdullah bin Umar (Radhiyallahu ‘Anhuma) alikuwa akijiandaa kwenda katika kuswali Jumuah, alisikia Kwamba mjomba wake, Sa’eed bin Zaid (Radhiyallahu ‘Anhu) alikuwa mgonjwa sana na alikuwa kwenye sakaratul mauti. Habari hii ilimfikia wakati alikuwa tayari amepaka manukato kwenye mwili wake na alikuwa karibu kuondoka nyumbani kwake kwenda …
Soma Zaidi »Heshima ya Sa’eed bin Zaid (Radhiyallahu ‘Anhu) kwa Uthmaan (Radhiyallahu’ Anhu)
Inaripotiwa kuwa katika hafla moja, mtu alifika kwa Sa’eed bin Zaid (Radhiyallahu ‘Anhu) na akasema, “Nina upendo mkubwa kwa Ali (Radhiyallahu’ Anhu) moyoni mwangu hadi kwamba amna kitu kingine chochote ninachokipenda kama jinsi ninavyompenda.” Sa’eed bin Zaid (Radhiyallahu ‘Anhu) alimpongeza kwa ajili ya Upendo na heshima kwa Ali (Radhiyallahu ‘Anhu) …
Soma Zaidi »Sunna na Adabu za kabla ya kula 2
7. Soma Bismillah au dua ifuatayo kabla ya kula. Ikiwa upo na familia yako, basi unaweza kuisoma dua kwa sauti kuwakumbusha. بِسْمِ اللهِ وَبَرَكَةِ اللهِ Kwa jina la Allah (Ta’ala), na kwa baraka za Allah (Ta’ala).[1] 8. Wakati wa kula, ama kaa na magoti yote mawili juu ya ardhi (katika …
Soma Zaidi »Nafasi ya juu ya Sa’eed bin Zaid (Radhiyallahu ‘Anhu) kati ya watu wa Madinah Munawwarah
Katika kipindi cha khilaafah yake, Mu’aawiyah (Radhiyallahu ‘Anhu) aliandika barua kwa Marwaan bin Hakam – waziri wake aliemchagua juu ya Madinah Munawwarah – ambaye yeye alimwagiza achukue Bay’ah (ahadi ya utii) kutoka kwa watu wa Madinah Munawwarah kwa niaba ya mtoto wake, Yazeed bin Mu’aawiyah, ambaye alikuwa Khalifah baada yake. …
Soma Zaidi »Kuwa Na Wasiwasi Juu ya Elimu ya Dini ya mtoto
Taifa lililobarikiwa na maarifa ya Dini na uelewa mzuri ni taifa linaloendelea na lenye msimamo mzuri na wa kuahidi baadaye. Kinyume chake, taifa lililonyimwa maarifa ya Deeni na uelewa mzuri ni taifa linaloelekea kwenye uharibifu na kutofaulu. Ni kwa sababu hii kwamba wakati Nabi yoyote alikuwa akipelekwa kwenye taifa yoyote, …
Soma Zaidi »Tamaa kubwa ya Saeed bin Zaid (Radhiyallahu ‘Anhu) kutoa maisha yake katika njia ya Allah Ta’ala
Wakati mji wa Damascus ulipofikia mikononi mwa Waislamu, Abu Ubaidah (Radhiyallahu ‘Anhu) – Kamanda wa Jeshi la Waislamu – alimchagua Sa’eed bin Zaid (Radhiyallahu’ Anhu) kama waziri juu ya Jiji la Damascus. Baada ya hapo, Abu Ubaidah (Radhiyallahu ‘Anhu) aliendelea na jeshi lake kuelekea Jordan. Baada ya kufikia Jordan, walipanga …
Soma Zaidi »