Sunna na Adabu

Fadhila za Mwenye kwenda Msikitini Kutekeleza Swalaah

1. Kufanya udhu nyumbani na kutembea kwenda msikitini kuswali ni njia ya mtu kusamehewa madhambi yake na daraja lake kuinuliwa.

Sayyidina Abu Hurairah (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Sayyidina Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) kasema, “Mwenye kutawadha nyumbani na baada ya hapo kutembea kuelekea kwenye nyumba miongoni mwa nyumba za Allah (subhaana wata'ala) ili akamilishe faradhi ya Allah (subhaana wata'ala), Basi Kwa kila hatua moja anachukuwa, dhambi moja inasamehewa, na kwa hatua inayofuata, atainuliwa daraja moja."

Soma Zaidi »

Fadhila za Musjid

1. Misikiti imetangazwa kuwa ndio sehemu inayopendwa zaidi kwa Allah subhaana wata’ala. عن أبي هريرة رضي الله عنه أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال أحب البلاد إلى الله مساجدها وأبغض البلاد إلى الله أسواقها (صحيح مسلم، الرقم: 671) Sayyidina Abu Hurairah (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Sayyidina Rasulullah (sallallahu …

Soma Zaidi »

Kuitikia Iqaamah

Itikia iqaamah kama vile unavyo itikiaa adhaan. Kwa hiyo, wakati wa kuitikia  قَدْ قَامَتِ الصَّلاَهْ (qad qaamatiss alaah) basi sema:[1] أَقَامَهَا اللهُ وَأَدَامَهَا وَجَعَلَنِيْ مِنْ صَالِحِيْ أَهْلِهَا Allah subhaana  wata’ala aiweke (Swalaah) na aihifadhi na anijaalie niwe miongoni mwa waja wema wanao simamisha swalaah. عن أبي أمامة أو بعض أصحاب …

Soma Zaidi »

Maneno ya Iqaamah na Njia ya Sunnah ya kutoa Iqaamah

3. Toweni iqaamah kwa hadr (isome kwa haraka namna).[1] عن جابر رضي الله عنه أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال لبلال إذا أذنت فترسل وإذا أقمت فاحدر (سنن الترمذي، الرقم: 195)[2] Sayyidina Jaabir (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Sayyidina Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) alimuhutubia Sayyiduna Bilaal (radhiyallahu ‘anhu) kwa …

Soma Zaidi »

Maneno ya Iqaamah na Njia ya Sunnah ya kutoa Iqaamah

1. Maneno ya iqaamah ni sawa sawa na maneno ya adhaan. Kwa hivyo, wakati wa kutoa iqaamah, inapaswa kusomwa kila kifungu cha maneno mara moja, isipokuwa قَدْ قَامَتِ الصَّلاَةْ (Qad Qaamatis Swalaah) ambayo itasemwa mara mbili. Kwa hivyo, baada ya حَيَّ عَلٰى الْفَلَاحْ (hayya ‘alal falaah), mtu atasema: قَدْ قَامَتِ …

Soma Zaidi »

Dua wakati wa Adhaan ya Maghrib

Soma dua ifuatayo wakati wa adhaan ya Maghrib au baada ya adhaan:[1] اَللّٰهُمَّ إِنَّ هٰذَا إِقْبَالُ لَيْلِكَ وَإِدْبَارُ نَهَارِكَ وَأَصْوَاتُ دُعَاتِكَ فَاغْفِرْ لِيْ Ewe Allah ta’ala! Huu ndio kuja kwake usiku na mchana kuondoka, na hizi ni sauti za waja wako wakiita (wa muadhin), basi nisamehe (dhambi zangu). عن أم …

Soma Zaidi »

Dua baada ya Adhaan 2

2. Baada ya kusoma dua ya adhaan, dua ifuatayo inapaswa pia isomwe: أَشْهَدُ أَنْ لَّا إِلٰهَ إِلَّا اللهُ وَحْدَهُ لَا شَرِيْكَ لَهُ وَأَنَّ مُحَمَّدًا عَبْدُهُ وَرَسُوْلُهُ رَضِيْتُ بِاللهِ رَبًّا وَبِمُحَمَّدٍ رَسُوْلًا وَبِالْإِسْلَامِ دِيْنًا Nashuhudia kwamba hakuna mungu ila Allah subhaana wata’ala aliye peke na hana mshirika, na Sayyidina Muhammad (sallallahu …

Soma Zaidi »

Dua baada ya Adhaan

1. Baada ya adhaan, mtu anatakiwa amswalie nabi wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam) na baada ya hapo asome dua ifuatayo:[1] اَللّٰهُمَّ رَبَّ هٰذِهِ الدَّعْوَةِ التَّامَّةِ وَالصَّلَاةِ الْقَائِمَةِ آتِ مُحَمَّدًانِ الْوَسِيْلَةَ وَالْفَضِيْلَةَ وَابْعَثْهُ مَقَامًا مَّحْمُوْدًانِ الَّذِيْ وَعَدْتَّهُ إِنَّكَ لَاتُخْلِفُ الْمِيْعَادْ Ewe Allah, Mola wa wito huu mkamilifu na ulio thibiti Swalaah, …

Soma Zaidi »

Kuitikia Adhaan

Adhaan ni miongoni mwa alama kuu za kiislamu. Wakati adhaan ina umuhimu mkubwa katika Dini, basi tunapaswa kuonyesha heshima kwa adhaan kwa kuijibu na kutojishughulisha pindi inapotolewa na mazungumzo yoyote ya kidunia. Fuqahaa wameandika kuwa ndivyo si sahihi kujihusisha na mazungumzo ya kidunia wakati wa adhana.[1] 1. Ukisikia adhaan, jibu …

Soma Zaidi »