21. Usipite mbele ya mtu anayeswali. Lakini, ikiwa ameweka sutrah mbele yake (yaani kuweka kitu chochote kirefu ili watu wapite mbele yake), inajuzu kupita mbele ya sutrah.[1] عن أبي جهيم رضي الله عنه قال قال رسول الله صلى الله عليه وسلم لو يعلم المار بين يدي المصلي ماذا عليه لكان …
Soma Zaidi »Sunna za Msikiti
18. Ni bora mtu asiutumie msikiti kama njia ya kupita (kupitia ng’ambo).[1] عن ابن عمر رضي الله عنهما عن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال خصال لا تنبغي في المسجد لا يتخذ طريقا ولا يشهر فيه سلاح (سنن ابن ماجة، الرقم: 748)[2] Sayyidina Ibnu Umar (radhiyallahu ‘anhuma) anaripoti kwamba Sayyidina …
Soma Zaidi »Sunna Za Msikiti
14. Hakikisha unazima simu yako ya mkononi unapoingia msikitini ili isilete usumbufu kwa wale wenye
kujishughulisha na kuswali na ibaadaah zingine.
15. Usipige picha au kutengeneza video ukiwa msikitini. Kupiga picha au kutengeneza video za vitu vilivyo hai ni haraam katika Uislamu, na kufanya hivyo katika msikitini ni dhambi kubwa zaidi.
Soma Zaidi »Sunna Za Msikiti.
13. Usipaze sauti yako au kufanya kelele ndani ya msikiti na katika eneo linalozunguka musjid.[1] عن السائب بن يزيد رضي الله عنه قال كنت نائما في المسجد فحصبني رجل فنظرت فإذا عمر بن الخطاب رضي الله عنه فقال اذهب فأتني بهذين فجئته بهما فقال ممن أنتما أو من أين أنتما …
Soma Zaidi »Sunna Za Msikitini
9. Fanya niya ya nafil i'tikaaf kwa ajili ya kuwa utakaa msikitini.
10. Swali rakaa mbili za tahiyyatul masjid ukiingia msikitini.
Sayyidina Abu Qataadah (radhiyallahu ‘anhu) amesema kuwa Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) alisema, "pindi mmoja wenu atakapo ingia msikitini, anatakiwa kuswali rakaa mbili za swala kabla ya kukaa,"
Soma Zaidi »Sunna Za Msikiti
7. Ingia msikitini kwa mguu wa kulia.
Imepokewa kwamba Sayyidina Anas (radhiyallahu ‘anhu) amesema, “Imetoka kwenye Sunna kwamba unapoingia msikitini uingie kwa mguu wako wa kulia, na unapotoka msikitini utoke kwa mguu wako wa kushoto.
Soma Zaidi »Sunna Na Adabu Za Kuchinja – Sehemu ya 4
18. Mtu asianze kumchuna mnyama huyo mpaka kusiwe na dalili ya uhai iliyosalia katika mwili. 19. Wakati wa kuchinja mtu asome tasmiyah kwa namna ifuatayo: بِسمِ اللهِ اللهُ أكْبَر Kwa jina la Allah Ta’ala, na Allah Ta’ala ndiye mkubwa zaidi. 20. Kabla ya kuchinja ni sunna kwa mtu kusoma dua …
Soma Zaidi »Sunna na Adabu za Kuchinja – Sehemu ya 3-
11. Ikiwa mtu ana uwezo, ni bora kwake kuchinja mnyama mwenyewe. Ikiwa hili haliwezekani, basi angalau ashuhudie mnyama wake akichinjwa, mradi tu hijaab inazingatiwa kati ya wanaume na wanawake (yaani kuingiliana kusifanyike). عن علي رضي الله عنه أن رسول الله صلى الله عليه و سلم قال يا فاطمة قومي فاشهدي …
Soma Zaidi »Sunna na Adabu za Kuchinja – Sehemu ya 2-
6. Ni sunna kwa mtu kujiepusha na kula chochote asubuhi wa Idul Adha (idi kubwa) mpaka arudi kutoka katika swala ya Idi. عن ابن بريدة عن أبيه رضي الله عنه أن رسول الله صلى الله عليه و سلم كان لا يخرج يوم الفطر حتى يأكل . وكان لا يأكل يوم …
Soma Zaidi »Sunna na Adabu za Kuchinja (kwenye siku ya idi kubwa)
1. Kuchinja ni ibaada kubwa na yenye thawabu nyingi katika Dini. Ndani ya Qur-aan Tukufu, kumetajwa kuhusu ibaada ya Kuchinja, na fadhila zake nyingi na umuhimu wake umesisitizwa katika Hadithi ya Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam). Allah Ta’ala Anasema: لَن يَنَالَ اللَّـهَ لُحُومُهَا وَلَا دِمَاؤُهَا وَلَـٰكِن يَنَالُهُ التَّقْوَىٰ مِنكُمْ Si nyama …
Soma Zaidi »