Monthly Archives: January 2023

Ruku na I’tidaal

6. Hakikisha kwamba mikono imewekwa mbali na mwili.[1] 7. Soma tasbeeh ifuatayo mara tatu au idadi yoyote isiyo na maganyiko:[2] سُبْحَانَ رَبِّيَ الْعَظِيْم Utukufu ni wa Mola wangu Mkubwa 8. Baada ya kusoma tasbihi, simama kutoka kwenye rukuu huku ukisema tasmee’:[3] سَمِعَ اللهُ لِمَنْ حَمِدَهْ Allah Ta’ala Humsikia mwenye kumsifu …

Soma Zaidi »

Abu Bakr (radhiyallahu ‘anhu) akijitolea Mali yake Kwa Sababu ya Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam)

Abu Hurairah (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema: “Hakuna mali ya mtu iliyoninufaisha zaidi kama mali ya Abu Bakr (radhiyallahu’anhu). Aliposikia hivyo, Abu Bakr (radhiyallahu ‘anhu) akaanza kulia na kusema, “Mali yangu yote na mimi pia ni wa kwako, Ewe Nabi Wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam)! Katika …

Soma Zaidi »