15. Ikiwa unaswali rakaa tatu au nne, basi katika rakaa ya tatu na ya nne utasoma tu Surah Faatihah. Hupaswi kusoma surah yoyote baada ya kusoma Surah Faatihah. Kumbuka: Katika rakaa ya tatu na ya nne kwenye swala ya fardh, Surah Faatihah itasomwa na imaam, muqtadi (mfwasi nyuma ya imaam) …
Soma Zaidi »Qiyaam
10. Mara tu unapoanza swalah yako, soma Dua-ul- Istiftah kimya kimya: وَجَّهْتُ وَجْهِيَ لِلَّذِيْ فَطَرَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ حَنِيْفًا مُسْلِمًا وَمَا أَنَا مِنَ الْمُشْرِكِيْنَ إِنَّ صَلَاتِيْ وَنُسُكِيْ وَمَحْيَايَ وَمَمَاتِيْ لله ِرَبِّ الْعَالِمِيْنَ لَا شَرِيْكَ لَهُ وَبِذلِكَ أُمِرْتُ وَأَنَا مِنَ الْمُسْلِمِيْنَ Nauelekeza uso wangu kwa yule aliyeziumba mbingu na ardhi, huku nikiwa …
Soma Zaidi »Qiyaam
1. Elekea kibla. 2. Weka miguu pamoja au karibu iwezekanavyo. Hakikisha kwamba miguu inaelekea kibla. 3. Baada ya hapo, weka nia ya Swalaah unayoswali na inua mikono yako mpaka vidole gumba viwe sawa sawa na ncha za masikio na ncha za vidole vyako viwe sawa sawa na sehemu ya juu …
Soma Zaidi »Kabla ya Swalaah
1. Uangalifu hasa unapaswa kuchukuliwa ili kuvaa vizuri kwa ajili ya swalah. Mwanamke anapaswa kuvaa mavazi ambayo yataficha mwili wake wote na nywele. Ni kinyume na adabu kwake kuvaa nguo za kujibana zinazoonyesha umbo la mwili wake au kuvaa mavazi laini, dhaifu ambayo viungo halisi vinaweza kuonekana. Ikiwa nguo ina …
Soma Zaidi »Kauli ya Imaam Shaafi’ee (rahimahullah)
Imaam Shaafi’ee (rahimahullah) ameandika katika Ikhtilaaful Hadith: Hatujui hata mmoja wa wake wa Sayyidina Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) kuondoka majumbani mwao kwenda kuhudhuria Swalaah ya Ijumuah au Swalaah nyingine yoyote msikitini, ingawa wake zake , kwa kuangalia nafasi zao maalum na uhusiano wao na Sayyidina Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam), wangekuwa …
Soma Zaidi »Matamanio ya Sayyidina Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) kuhusu Wanawake Kuswali ndani ya Nyumba zao
Ingawa ilikuwa ni matamanio ya Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) kwamba watu wa Ummah wake waswali na jamaah msikitini, ilikuwa ni matamanio yake pia kwamba wanawake wa Ummah wake watimize Swalaah zao ndani ya mipaka ya nyumba zao. Sayyidina Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) aliwahimiza wanawake kuswali ndani ya nyumba zao na …
Soma Zaidi »Swalah Ya Wanawake
Kila kipengele cha dini ya Kiislamu kinachohusiana na wanawake vimeengemezwa na unyenyekevu na aibu. Ni katika suala hili ndipo Uislamu unawaamrisha wanawake kubaki ndani ya mipaka ya nyumba zao, wakiwa wamejificha kabisa machoni kwa wanaume, na wasitoke majumbani mwao bila ya haja halali ya Sharia. Namna ambayo mwanamke ameamrishwa kuswali …
Soma Zaidi »