Wakati mmoja, kipindi cha Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam), kundi la Maswahabah (radhiyallahu anhum) kutoka kabila la Banu Al-Ash’ar walisafiri kutoka Yemen hadi Madinah Munawwarah kwa ajili ya hijrah. Walipofika kwenye mji uliobarikiwa wa Madinah Munawwarah, walikuta kwamba chakula chao walichokuja nacho kilikuwa kimekwisha. Hivyo, waliamua kumtuma mmoja wa masahaba kwa …
Soma Zaidi »Yearly Archives: 2024
Ali (Radhiya Allaahu ‘anhu) Akitumwa Na Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) Kusawazisha Makaburi, Kuvunja Masanamu na Kufuta Picha
Ali (radhiya allaahu ‘anhu) anaripoti kwamba katika tukio moja, Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alihudhuria janaazah la Sahaabi fulani. Baada ya hapo akawahutubia maswahaabah (radhiya allaahu ‘anhum) waliokuwepo na akasema: “Ni nani miongoni mwenu atakayerejea Madinah Munawwarah, na popote atakapoona sanamu yoyote atalivunja, na popote atakapoliona kaburi lililoinuliwa (juu ya ardhi, …
Soma Zaidi »Watu Ambao Dua Zao Zinakubaliwa
Mtu Mgonjwa Umar (radhiyallahu ‘anhu) anasimulia kwamba Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema: “Unapokutana na mgonjwa basi muombe akuombee dua, kwa sababu dua yake ni kama dua ya Malaika (yaani kwa ajili ya ugonjwa huo madhambi zake yamesamehewa, kwa hiyo anafanana na Malaika kwa kutokuwa na madhambi, na ndo maana dua …
Soma Zaidi »Mjadala kati ya Ibrahim (alaihis salaam) na Namrood
Namrood alikuwa mfalme dhalimu, dhalimu ambaye alikuwa amedai kuwa yeye ni mungu na akawaamuru watu kumwabudu. Ibrahim (alaihis salaam) alipokwenda kwa Namroud na kuumpa da’wah kumwaamini Allah Ta’ala, Namroud, kutokana na kiburi na ukaidi wake, hakukubali na akamuuliza Ibrahim (alaihis salaam) Mola wake anaweza kufanya nini. Ibrahim (alaihis salaam) akamwambia …
Soma Zaidi »Imani Madhubuti Ya Ali (radhiya allaahu ‘anhu) katika Ahadi ya Allah Ta’ala
Imepokewa kwamba siku moja, ombaomba mmoja alikuja kwa Ali (radhiya allaahu ‘anhu) na kuomba kitu. Ali (radhiya allaahu ‘anhu) alimgeukia mmoja wa wanawe wawili, ima Hasan au Husein (radhiya allaahu ‘anhuma), na akamwambia, “Nenda kwa mama yako na umwambie kwamba nilisema, ‘Nilihifadhi dirham sita kwako, basi nipe dirhamu moja katika …
Soma Zaidi »