Bilaal (Radhiya Allaahu ‘anhu) akiwa kwenye kitanda chake cha Kifo

Wakati Bilaal (Radhiya Allaahu ‘anhu) alipokaribia kufariki, mkewe alianza kusema, “Ah, huzuni iliyoje!
Unaondoka katika ulimwengu huu!”

Bilaal (Radhiya Allaahu ‘anhu) akajibu: “Inapendeza nani furaha iliyoje kwamba kesho tutakutana na marafiki zetu, tutakutana na Muhammad (Sallallahu ‘alaihi wasallam) na maswahaba zake.

About admin

Check Also

Abu Dhar (Radhiya Allaahu ‘anhu) Akimshauri Amiri La Jeshi Kusimamia Uadilifu.

Imam Bayhaqi (rahimahullah) anasimulia: Wakati Yazid bin Abi Sufyan (Radhiya Allaahu ‘anhu) alipokuwa waziri wa …