Monthly Archives: January 2024

Watu Ambao Dua Zao Zinakubaliwa

Mtu Mgonjwa Umar (radhiyallahu ‘anhu) anasimulia kwamba Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema: “Unapokutana na mgonjwa basi muombe akuombee dua, kwa sababu dua yake ni kama dua ya Malaika (yaani kwa ajili ya ugonjwa huo madhambi zake yamesamehewa, kwa hiyo anafanana na Malaika kwa kutokuwa na madhambi, na ndo maana dua …

Soma Zaidi »

Mjadala kati ya Ibrahim (alaihis salaam) na Namrood

Namrood alikuwa mfalme dhalimu, dhalimu ambaye alikuwa amedai kuwa yeye ni mungu na akawaamuru watu kumwabudu. Ibrahim (alaihis salaam) alipokwenda kwa Namroud na kuumpa da’wah kumwaamini Allah Ta’ala, Namroud, kutokana na kiburi na ukaidi wake, hakukubali na akamuuliza Ibrahim (alaihis salaam) Mola wake anaweza kufanya nini. Ibrahim (alaihis salaam) akamwambia …

Soma Zaidi »