Monthly Archives: May 2023

Furaha Ya Umar (Radhiyallaahu ‘anhu)

Umar (Radhiyallaahu ‘anhu) aliwahi kumwambia Abbaas (Radhiya Allaahu ‘anhu) (mjomba wa Rasulullah sallallahu ‘alaihi wasallam)) “nilikuwa na furaha zaidi na Uislamu waku kuliko Uislamu wa baba yangu, kwa sababu Uislamu wako ulileta furaha zaidi kwa Mtume (Sallallahu ‘alaihi wasallam) kuliko Uislamu wa baba yangu.” (Sharhu Ma’aanil Aathaar 3/321)

Soma Zaidi »

Kupokea Cheti cha Uhuru kutokana na Unafiki na moto wa Jahannam

عن أنس بن مالك قال: قال رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم: من صلى علي صلاة واحدة صلى الله عليه عشرا ومن صلى علي عشرا صلى الله عليه مائة ومن صلى علي مائة كتب الله له بين عينيه براءة من النفاق وبراءة من النار وأسكنه الله يوم القيامة مع …

Soma Zaidi »

Swalah Ya Wanawake

Kila kipengele cha dini ya Kiislamu kinachohusiana na wanawake vimeengemezwa na unyenyekevu na aibu. Ni katika suala hili ndipo Uislamu unawaamrisha wanawake kubaki ndani ya mipaka ya nyumba zao, wakiwa wamejificha kabisa machoni kwa wanaume, na wasitoke majumbani mwao bila ya haja halali ya Sharia. Namna ambayo mwanamke ameamrishwa kuswali …

Soma Zaidi »